Utangulizi:
Mahitaji ya walimu nchini hadi kufikia lengo la uwiano wa mwalimu kwa mwanafunzi 1:50 ngazi ya shule za msingi na 1:20 kwa ngazi ya shule za sekondari kulingana na Mpango wa III wa...
Awali ya yote napenda kumshukuru Mungu kwa kutupa amani katika nchi yetu ya TANZANIA pia nawashukuru JAMIIFORUMS kwa kuweza kuandaa hili shindano ambo litaleta mawazo ya kufikia kwenye TANZANIA...
Imekuwa kilio kisichokua na majibu miaka nenda rudi suala la mishahara ya walimu, pamoja na polisi katika kuboresha mishara yao. Japo Kuna watu wanasema inatosha ni sawa ila bado haitoshelezi...
Tanzania faces a significant challenge, as there is a substantial gap in educational access and quality as it has been seen since Independence. While the government strives to improve the...
Utangulizi: Mafuriko yanayosababishwa na mvua kubwa huwa na athari kubwa kwa jamii, miundombinu, na uchumi ulimwenguni kote. Ili kupunguza athari hizi, njia kamili inayounganisha mikakati...
In Tanzania, the President appoints many public servants. This article argues that a shift towards an elected public service is necessary for robust democracy, increased accountability, and...
UTANGULIZI.
Pamoja na jitihada za serekali katika kuimarisha sekta ya kilimo lakini bado Kuna changamoto nyingi ambazo ni vifaa duni,ukosefu wa mitaji,ukosefu wa elimu,kukosekana Kwa masoko ya...
Ni nyumbani kwa mzee Masalu! Ubishi mkali unatokea kati ya mzee Masalu na kijana wake ambaye hataki Shule. Hataki shule kwa madai ya kua haoni mwanga mbele!
Hali hii imeanza kuota mizizi katika...
"TANZANIA TUITAKAYO": Mfumo wa Elimu wenye Mwelekeo wa Ujuzi kwa Vizazi Vijavyo
Katika dunia inayobadilika kwa kasi, elimu imekuwa kiini cha maendeleo na ustawi. "TANZANIA TUITAKAYO" inatoa maono...
TANZANIA TUITAKAYO,MABORESHO MFUMO WA ELIMU ILI KUPELEKEA TANZANIA KUWA NA UCHUMI MKUBWA
Tokea kupata uhuru wa Tanganyika kumekuwa na maazimio tofauti ya kuboresha mfumo wetu wa elimu tangu mwaka...
UTANGULIZI.
Ni makala ya story of change ya jamii forum, inayochochea mjadala wa kitaifa juu ya masuala mbalimbali, nami nikiwa nimeangazia dhana ya utawala bora nchini Tanzania, ili kuipata...
Kuwekeza katika Afya ya Akili kwa Tanzania Yenye Afya ya Akili
Utangulizi
Afya ya akili ni sehemu muhimu ya afya na ustawi wa jumla. Hata hivyo, nchini Tanzania, afya ya akili mara nyingi...
In 2016, Furaha gave birth to a daughter called Upendo. Instead of expressing delight, her husband, Mashaka reacted angrily, beating Furaha until he chased her out. This is because Upendo...
The National Identification Authority (NIDA) card is a cornerstone of Tanzania's identity management system. National identification allows people to confirm their identity, which is required for...
Fellow Tanzanians, we stand at a pivotal moment. Our nation is brimming with potential, a land of fertile soil, vibrant people, and a youthful energy eager to build a better future. But to truly...
Naam kilicho bora na imara hujengwa katika misingi iliyo bora na imara
Tanzania tunayoitaka iko mikononi kwa wazee ambapo yapaswa kukabidhiwa kwa vijana na watoto, maarifa na ujuzi ni vitu muhimu...
Niongelee mapendekezo machache leo.
1. Serikali iboreshe barabara kwa kiwango chenye uimara zaidi toka ngazi ya mkoa hadi kata. Na sio barabara ambazo wakati wa mvua hazipitiki.
2. Mifumo ya...
Tanzania ni nchi iliyozaliwa miaka 60 iliyopita baada ya muungano wa Serikali mbili, serikali ya Tanganyika na serikali ya Mapinduzi ya Zanzibari mwaka 1964.
Tokea Muungano mpaka sasa nchi yetu...
Kama ilivyo kwa vijana wengi, tuna hulka kuu ya kwenda kusoma nje ya nchi zetu, hasa kwa sababu ya scholarship au sponsorship ambapo japokuwa unasoma inakuwa ni sehemu ya kujiingizia kipato kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.