Imezoeleka katika chambuzi nyingi, watu husifia. Lakini ni vigumu sana kufanya uchambuzi kwa kuonesha makosa au udhaifu katika nyanja mbalimbali hususani katika jambo unalolifanyia kazi. Bila ya...
Tanzania inajivunia utamaduni mzuri wa soka, huku timu zetu pendwa za Simba, Azam na Yanga zikizidi kuwasha shauku kubwa katika anga za kitaifa na kimataifa. Hata hivyo, hali ya sasa ya viwanja...
Katika pembe ya kusini mwa Tanzania, katika kijiji kidogo kilichofichwa na milima na misitu, kulikuwa na kijana mmoja aitwaye Prince. Prince alikuwa na ndoto kubwa ya kuleta mageuzi katika tasnia...
Tanzania tuitakayo yenye wakazi wenye maisha na maendeleo makubwa ni Tanzania yenye mambo yafuatayo tena yakiwa katika ubora wake.
1. Mfumo bora wa uchaguzi na wenye kuzingatia haki na maendeleo...
UTANGULIZI
Mnamo mwezi agosti mwaka 2023 mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) ilitoa tahadhari kuhusu mvua za El nino zitakazo anza kipindi cha vuli kuanzia wiki ya pili ya mwezi october mpaka...
Tanzania, like many developing nations, stands at a crucial juncture in its economic development journey. The concept of "building a better tomorrow" encapsulates a strategic approach to...
Andiko linausu Tanzania tuitakayo
Tanzania tuitakayo iwe bora katika mambo yafuatayo ni lazima tuifanyie mabadiliko katika sehemu zifuatazo ambazo ni.
Afya: Tanzania kma nchi ni lazima tufanye...
Elimu ni ni sekta nyeti katika kila nchi dunian ukitaka kuharibu nchi haribu mfumo wa elimu kivipi kwa sababu ukiaalibu mfumo wa elimu umeshaharibu kila kitu kwa mfano ukialimu mfumo wa elimu...
source: www.urban municipal council
Utangulizi:
Migahawa ni sehemu muhimu ya tamaduni ya kula katika jamii zetu, lakini mara nyingi hatufahamu yale yanayotendeka nyuma ya pazia. Wakati...
The current employment-based education system in Tanzania has led to a lack of self-reliance and innovation among the population.
This writingl outlines a comprehensive plan to transition from an...
UTANGULIZI
Usafiri wa daladala ndio usafiri unaotumiwa na watu wengi ndani ya mikoa mikubwa(Majiji), mikoa midogo na vijijini. Ni usafiri ambao asilimia kubwa wa watumiaji wa watu wa kipato cha...
Tanzania ni nchi ambayo iko uchumi wa kati kutokana na ukuaji sekta mbalimbali za kiuchumi lakini bado ina safari ndefu ya kufikia malengo ya kuwa nchi yenye uchumi imara kama baadhi ya nchi ulaya...
UTANGULIZI:
Mfumo wa Pamoja wa TEHAMA wa udhibiti wa mifumo ya TEHAMA (General Intergrated Control of IT systems) ni mfumo wa pamoja utakaosimamia na kudhibiti matumizi ya mifumo ya TEHAMA katika...
1. Unawapikia chakula chao ili wasome na kufurahia.
2. Unawasaidia kufua nguo zao na kupanga vyumba vyao.
3. Unawaacha shuleni kila siku peke yako!
4. Unadanganya kwa niaba yao ili kuwatoa...
SILIKONI BONGO MKOMBOZI WA BUNIFU TANZANIA, ILI KUCHOCHEA ONGEZEKO LA AJIRA KATIKA NCHI YETU
Utangulizi
Ukitazama picha hapo juu wazo la uumbaji wa ulimwengu kama ambavyo maandiko matakatifu...
Introduction:
Tanzania, a land of rich cultural heritage and natural beauty, holds immense potential for growth and development. As we envision the Tanzania we want, it is crucial to transform...
Jamii nyingi za kitanzania zitabadili vitendo endeshi kwa watoto na kuwapa nafasi ya kuchagua maamuzi yaliyo Bora kwao.
1. Mimi Ni mmoja ninayepitia changamoto ya kufikia ninachokitaka kutokana na...
Ili kutunza Mazingira na kuongeza ajira ,serikali iweke mashine za recycle kila mtaa au kila kata.
Utangulizi
Jukumu la kutunza mazingira ni langu na ni lako hivyo tunaweza kutumia fursa ya...
Inafahamika ni gharama sana kwa sisi kuanzisha mitaala yetu ,lakini ni dhahiri na ni wazi kuwa tutakapo iianzisha na kuisimamia itakuwa ni yenye Tija.
Tuanze na
★★Elimu ya Sekondari ya juu yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.