Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari Ninatumia windows phone ,tatizo ni kuwa siwezi kupata menu za Tigo pesa na mpesa yaani kila ni nikipiga *150*01# au *148*00# nakadhalika inanipa unknown error.naomba mwenye maujuzi ananisaidia
0 Reactions
7 Replies
3K Views
gsm.dob.placeholder gsm.dob.placeholder
0 Reactions
0 Replies
533 Views
Nitumie app gani kusoma THE CURRENT MAP VIEW, ambayo inaonyesha vitu halisi vilivyopo kawa sasa, mfano nikipaki gari kisha nikaingia kwenye map location Nione kwa muda huo huo. Niliyonayo kwenye...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wadau wa jukwaa hili Naomba msaada niweze kufungua gmail account yangu maana imenigomea kila ninapojaribu ku-log in inasema wrong password na nimejaribu kufuata procedure za kusahau...
0 Reactions
0 Replies
856 Views
HAbari ya nyinyi wana jamvini, wengi tumekuwa tunatamani kupata access ya Wireless intenet , But kikwazo ni key za kuweza kuingia ili tupate access ya internet, mdogo wenu nimezama machimbo yote...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Mwaka juzi bro alinunua ipad min 3 akatengeneza icloud account n mwaka jana ameniachia na bahati mbaya amesahau icloud password yake na mm inanitesa sielewi ni njia gani ya kuitoa icloud email na...
0 Reactions
1 Replies
837 Views
Naomba kujua ni kwanini hili linatokea, ni kwamba TCRA hawana uwezo wa ku control baadhi ya makampuni au kuna ujanjaujanja??. Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
2 Reactions
43 Replies
5K Views
Habari Wanajamii, Nauliza hii ndio tuliambiwa Tanzania wameanza kutengeneza helicopter
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kuna jamaa anataka kuniuzia modem kwenye picha, kwa mtu yoyote ambaye amewahi tumia nataka nijue performance yake ipo poa? Na vipi haichagui line kweli? Ipo poa kwa 4G kweli?
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Wakuu habari. Nina simu LG g3, nilikuwa safarini nikawa na mapumnziko ya siku 2 mjini Maputo, ambako niliuziwa hiyo simu niliyoitaja hapo juu. Baada ya kuitumia kwa muda wa kama wa mwezi mmoja...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Salaam jf. Simu y angu aina ya Samsung Galaxy Y Duos S6102. Nilifanikiwa kuiroot na kuifanyia custom kutoka 2.3.6 gingerbread kwenda 4.4 kit kat sasa hii kitu 4.4 ikawa imemaliza memory yote...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna system moja ya custom nimekutana na hizi terms IM7, IM4, IM5, EX1, n.k Nimejaribu ku-google lakini bado sijapata business process inavyokuwa kwa kila aina ya hizi terms. Naomba mwenye...
0 Reactions
1 Replies
804 Views
Habari za leo wadau......naomba kuwasilisha kwenu na kuomba msaada wa ushauri juu ya microphone nzuri na affordable kwa ajili ya kurusha matangazo ya moja kwa moja i mean kama ya radio za...
1 Reactions
0 Replies
729 Views
Wataalamu wa tecnolojia naomben mnimalizie huu mkanganyiko. Kati ya SAMSUNG S5 na TECNO C8 ipi simu bora na nzuri katika matumizi?? Zinanichanganya saanaa!!!
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Simu niliyonunua ni ya line mbili moja ni ya kawaida na nyingine ni ya kukatia. Kwenye sehem ya kuweka line ya kawaida ina support mtandao mmoja tu wa tigo. Naomben kujulishwa nifanye vipi ili...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wadau wa jukwaa hili naombeni msaada wenu nataka kubadili pc kutoka window 8.1 iwe android wenye kujua mambo hizo msaada wenu unahitajika
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Handboss Universal cleaning agent ina madhara yapi ktk kusafishia pc?
0 Reactions
1 Replies
728 Views
Wadau najua hapa JF huwezi kukosa kitu,baada ya shemeji yenu kwenda masomoni na kazi ya kufua nguo imekuwa shuruba kwangu,sasa nataka kununua mashine ya kufulia nguo ambayo haizidi Tsh 500,000na...
0 Reactions
15 Replies
15K Views
nina simu aina ya s3 neo imecorrupt imei yake na haishiki mtandao inasema no sim found ila simu inasoma lain ukisurvey phonebook. sometimes inasema no registered found. anyone with the knowlegde...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom