Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Natafuta chuo cha IT kilichopo mwanza kiwe cha boarding Ama hostel naweza pata msaad jmn!
0 Reactions
0 Replies
696 Views
Ni application gan ya android unaikbal sanaa for playing musi na photo editor ipi unaikubali zaid... Tshrkishane jaman wakuu...
0 Reactions
2 Replies
836 Views
Wakuu kwanza natanguliza salamu kwa member wote humu jukwaani. Kama inavyojieleza kwenye kichwa cha habari ni kuwa laptop yangu aina ya dell inspiron 1000 ilizimika ghafla jana usiku muda mfupi...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wadau nimebambikwa simu ya mchina (Samsung galaxy S4)....mwanzoni ilikuwa inawaka vzuri kama samsung S4 lakin kwasasa inawaka ikionyesha ni Media Tek- android.... Pia imekuwa slow sana + kuganda...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba msaada wa-kiushauri kwa mtaalam wa kutumia camera 1. Ni kamera ya megapixel ngapi inayoweza kuchukuwa picha yenye ubora kwa umbali wa mita 50? 2. Ni aina gani iliyo bora? 3. Ni bei gani na...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Dah hike ni zaidi ya whatsapp kwa feature hizii-unaweza kutuma file zimaa na contents zake ila zisizid mb100-unaweza kutuma video ya mb100 sio kama whatsapp mb16 tuu, hadi muvi unaweza kuituma...
5 Reactions
44 Replies
5K Views
Waungwana Naombeni kujua ghrama za vin'gamuzi vya DSTV HD decoder hapa Tz.Je,kuna gharama za ziada katika malipo?Kuna Model aina ngapi sokoni? na ipi ni ya bei ya chini?
1 Reactions
18 Replies
11K Views
Msaada wana It natumia tecno p5 sasa kuanzia jana sipati internet inaniandikia 'unfortunately massanger stoped. Sasa sijui nimekolofisha wapi? Naomba msaada wenu
0 Reactions
3 Replies
3K Views
IPHONE 6 PLUS NA KASHFA YA BENTGATE By Mwandishi Wetu 16:37 0 comments iPhone, Mwanzo, Simu, Uchambuzi Wetu iPhone 6 Plus jinsi inavyopinda Amini usiamini Apple bila ya kukusudia...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Awali nilizungumzia kwamba siamini kwamba iPhone 6 Plus inaweza kuvunjika kwa kuiweka mfuko wa mbele bila ya kuikalia, na kueleza kwamba mwenyewe nimefanya jaribio hilo. Niliweka wazi kwamba the...
0 Reactions
2 Replies
942 Views
Wadau salaam wapi naweza pata kununua, betri za simu aina ya Alcatel one touch, ni android
0 Reactions
0 Replies
645 Views
fellaz mambo vipi mbona my qsat 23 aioneshi supersport 3,superspot 7 na 9 yan zile station za mpira.
1 Reactions
8 Replies
3K Views
wakuu habar zenu natafuta hili game la GTA 4 nitalipatajee????
0 Reactions
4 Replies
778 Views
Naomba mtu anielekeze jinsi ya kuunlock sony ericsson w890i nimepewa na mzungu na nikiweka line inaandika INSERT CORRECT USIM... NATANGULIZA SHUKRANI WAPENDWA
0 Reactions
12 Replies
2K Views
PayPal Enables Bitcoin Transactions For Merchants Selling Digital Goods...
2 Reactions
3 Replies
860 Views
Naombeni msaada jinsi ya kuroot lg e405,kwa anae fahamu anipe msaada
0 Reactions
3 Replies
801 Views
Wanajukwaa wezangu, natumia I pad 64GB ambayo nimenunua kwa rafiki yangu flani ila imekuja na OS version 5.1.1 ambayo haisupport baadhi ya application hivyo naomba Msaada namna ya ku upgrade kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ninafanya programming ya devices hasa custom made devices ( zile ambazo mtu wa electronics anatengeneza mwenyewe from scratch, mfano barcode reader etc). ready-made devices nyingi huja na software...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu. Mimi ni Mwl wa shule ya msingi ya hapa dar es salaam. Namba kuuliza je kuna shirika au taasisi inayosaidia kutoa compyuta walau used au kutengeneza bure program za database ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Much of Earth's Water Is Older Than the Sun...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom