Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naomba msaada wa Mawazo ,Nimenunua simu hiyo baada ya kuichaji masaa 4,nikaitoa na kanza kuitumia, Kilicho tokea baada ya kama saa moja ikajizima, Kurudi Dukani nilipo uziwa sijapata msaada...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
nina cm yng ya nokia e7 ina internal memor 16 gb lakin nikirusha wimbo unagoma kuingia
0 Reactions
3 Replies
760 Views
Unaweza kubadili mtazamo (appearance) wa iPhone yako kwa kubadili rangi kama utapenda. Nenda Settings kisha General, kwenye General tafuta Accessibility. Hapo penye Accessibility pana Invert...
2 Reactions
0 Replies
6K Views
wadau naomba msaada wenu,mwanzoni nilikuwa natumia iOs 5 kwenye ipad apple ipad) speed yake ilikuwa nzuri sana ila tu baadhi ya applications sikuweza kudownload au kutumia,ikanibidi ni update to...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, nimesikia watu wengi hasa mafundi wakisema gari zenye engine za D-4 sio nzuri, ni kweli? na mbona kila nikiangalia mtandao naona engine nyingi za sasa ni D-4. Je nifanyeje...
0 Reactions
1 Replies
923 Views
Habari za saa hizi ndugu zangu,naomba munisaidie jinsi yakufuta whatsapp kwenye nokia Asha 311 nmeshajaribu mpaka nmechoka nw bila solution bcs imeexpire nkiupgrade feedback inakuja service nt...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
http://youtu.be/uLERF1KkyLg
0 Reactions
6 Replies
1K Views
habari zenu wana jamvi.. leo katika kuwasha computer nikafungua program Huawei Modem unlocker nikakutana na hiyo error ya microsoft.NET framework then inaandika Click Quit to close immediately...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Nimetengeneza Emotional Hip hop BEAT yenye elements za Trap kidogo... Unaweza isikiza hapo na kudownload FLP yake hapo chini.... -UNAHITAJI: EDIROL ORCHESTRAL VST PURITY VST .......... Enjoy
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nina mini laptop yangu ndogo ni DELL haisomi flash disk zote port zote hazidetect kitu ila inafanya kazi vizuri sasa sijui tatizo ni software ama ni hardware. Msaada wadau!
1 Reactions
17 Replies
2K Views
nina video zangu nimetupia kwenye youtube na zina waangaliaji wengi ila sielewi jinsi ya kuomba na kupata adsense kwa youtube video ... naomba msaada wenu
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habar wadau!? Naomba kujua utofauti uliopo kwenye hizi quality HD za Picha/Video. Je ipi ni latest na inayo toa Picha nzuri zaidi ya Mwenzie!? Nawakilisha kwenu kwa uchambuzi yakinifu. Thanks.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau, pamoja na thread nyingi zilizo ndani ya jukwaa hili kuhusu ku unlock modem, nimezifuatilia lakini zimefail kufanyakazi. Modem ni huawei e153 (Tigo).
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wakuuu, wapi nitapata complete s4 display na touch na ni kiasi gani anaefaham plz anisaidie.
0 Reactions
3 Replies
962 Views
Jaman nataka kuinunua hyo smu ya kutoka vodacom,je naweza kuflash na kuingia lain yoyote bila kuleta matatzo
0 Reactions
2 Replies
827 Views
kupitia matangazo switch vpn inaonyesha ni bei nafuu yaani dola 5.95 kwa mwezi...je kuna mtu yeyete anyetumia hiyo anielekeze
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ninatumia huawei ascend y200 napenda sana games lakini kila game ninayodownload haikubali nimejaribu Dead trigger, fifa14. ASault team na mengine mengi na yote hayakubali nifanyeje? kwa anayejua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nimejaribu leo ni mb 400 tu kwa mia mbili waongo sana jamaa...ila inafaa kwa vitu vidogo dogo...kama kusoma email.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
ninayo blog ina mwaka mmoja tangu nianzishe ila sijui jinsi ya kuomba goole adsense.. naombeni msaada wenu
0 Reactions
0 Replies
824 Views
mwenye uzoefu wa kutengeneza spika boxes, nadhan atanisaidia kwa hili, ingawa mimi nachonga spika ndogo ndogo kama za sub woofer. Mfano upana 35cm, urefu 45cm, na depth ni 50cm, iyo ndo kipimo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom