wakuu madude yashachukuliwa na wanaohusika nayo so sitojibu pm zinazoulizia madude. ila wale nilioshare nao kama mmepata njia nyingine za kupitia mabasi msisite kunipa pande
Kama unahitaji Reg. Keys za apps zifuatazo kwa ajili ya S60v3 symbian phones weka IMEI ya simu yako, baadae nikiwa free nitawatumia
1. LCG Jukebox
2. Power movie
3. Quickoffice
4. OfficeSuite...
Baada ya kufanya uchunguzi kwa Muda Mrefu kuhusiana na Simu ipi ya Android ni bora na yenye Ufanisi, nkagundua kuwa LG G2 ndio simu inayoongoza kwa ubora na Ufanisi Duniani japo watu wengi...
Wana jamvi;
Naomba mnisaidie nimenunua Ipad Apple sasa kila ninapocreate Apple ID nafanikiwa ila nikilog in kwa kuitumia hiyo ID kwenye inakataa, naomba mnisaidie tatizo ni nn??
Wanna JF kwa waliotumia au wanaotumia simu ya Tecno P5 kuna tatizo nimekumbana nalo ,Mimi huwa nina Betri ya akiba nimeinunua mara ya kwanza inapoisha ninapobadilisha na kuwasha simu inawaka kwa...
Kesho Vodacom inatimiza Miaka 20 !
Kwa kupiga *111*600# utapata 1GB Bure ! Na utaweza kudownload, ku stream na kupeluzi !
20 years of Vodacom Its our 20th birthday and all Vodacom subscribers...
Habari wana JF, kuna huduma nataka kuanzisha yani inakua hivi mtu anatakiwa kujiunga kwa kutuma neno fulani kwenda namba fulani e.g mapenzi to 15741 then akijiunga anakua anatumiwa meseji kila...
Jamani wadau naomba msaada mimi natumia Tecno N 7 shida niliyonayo ni kuwa nashindwa kuangalia video katika You Tube..nikifungua you tube napata ujumbe kuwa
"This app won't run without google...
Kuna ki-deck fulani hivi nilikachukua hivi majuzi ili nikatumie sehemu fulani katika mishe zangu lakini tatizo ni kwamba ukiweka USB na Adapter kanasoma Audio na Emage video haionyeshi.Sijui...
WADAU naombeni msaada wa kimawazo na ufundi pc yangu aina ya dell iliingia maji ikazima nikatoa hard disk na ram nikavikausha na nilivyo vitest kwenye pc nyingine vikawa vinafanya kazi vizuri, na...
Wadau naombeni msaada nilifanya transaction ya kununua simu katika aliexpress sasa kwenye shiping nikachagua DHL mana wao mzigo unafika kuanzia 4-8 days sasa cha ajabu yule seller ametuma mzigo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.