Salam wakuu, kwa kifupi natafuta a cheap tablet ambayo ni used/mint cond. or hata kama mpya. Iwe ni android os, my budget is less or equal to 300k. Asante!
nime upgrade android os
v4.0.4 (Ice Cream Sandwich),
to v4.1 (Jelly Bean) Chipset Exynos.
Bt camera imekuwa hovyo.
Mwingne cm yake haikuwaka kabisa
Nimekosea wap?
Na je kuna uwezekano wa...
Habari zenu wakuu,
Nimeamua namI niingie katika ulimwengu mpya wa kupata d**v, Aljazeera sports ili name nifaidi maisha. Humu jamvini kuna products kadhaa za receivers ninazoweza kutumia ili...
Jaman wataalamu watusaidie hapa Star tv kupitia frequency zake za 3884 na Symbol rate 4900 huku MOSHI..SIGNAL IS WEAK...Hatuipati kabisa ni Mwez na zaid sasa...JAMAN TUNAOMBA MSAADA...
IBM announced it has patented a new cryptography solution that is aimed at enhancing privacy and security in the cloud.
IBM has patented yet another cloud computing innovation, this latest one...
43 63 Google +9 131
IBM announced it has patented a new cryptography solution that is aimed at enhancing privacy and security in the cloud.
IBM has patented yet another cloud...
Nimegundua kuwa vlc imekuwa coded kubadili icon na kuwa imevalishwa kofia ya krismas katika msimu huu wa x-mas na mwaka mpya... mfano kwenye about box inaonekana hivi.
sasa mi naona hii inaleta...
Linapokuja suala la soko la
smartphone nchini Marekani,
mara nyingi huwa ni mbio za
farasi wawili tu, Apple na
Samsung huku makampuni
kama HTC na Motorola
wakipigania soko kiduchu...
Apple CEO Tim Cook sent a year-end memo to all Apple employees this week where he says Apple is working on some big stuff for 2014.
9to5Mac was the first to get its hands on the memo...
Wadau wote wa jukwa hili mtusaidie kuweka hapa nyuzi za muhimu zilizotokea kwenye jukwa hili kwa mwaka 2013. Najua kuna ambazo zipo Sticky ila hizo tumezizoea na zinaboa. Tafadhali tumia uzi huu...
ZA MUDA HUU WAKUBWA... nimejaribu kushea huu ujuzi nilionao japo kidogo nanyi... Style ya beat unaweza iita Trap.. Sorry for the poor sound hope next time nitarekebisha hilo tatizo... NIMEUPLOAD...
Naamini kila mtu yupo salama kabisa.
Anaetaka Ku-unlock Blackberry iliyokuwa locked kwa mitandao ya ulaya anipigie kwenye 0784262953, tutaongea namna ya kukufungulia.
msaada wakuu ninaweza kuipata termal compound(Thermal Paste) wapi,je kuna njia ambayo ni rahisi kutumia au mbadala wa thermal compound?naomba msaada wenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.