Apples iPhone 5S and 5C event: What to expect
For months now, the main Apple rumors have been regarding the upcoming flagship iPhone 5S, and the cheaper, midrange, colorized iPhone 5C model...
Alvin Walter Makundi ni kijana mdogo wa Kitanzania anayeishi na wazazi wake nchini Singapore. Akiwa na umri wa miaka 14 na mwanafunzi wa kidato cha pili huko Singapore, tayari ameshatumbukiza...
Yaani hii ndio kwanza inanitokea, yaani kila faili la word na pdf ninalofungua
linaonyesha halikuandikwa kitu chochote wakati mengine yalikuwa na kurasa mpaka
400. Kama kuna mwenye ushauri...
unaingia google then search wwitv kunbuka ni ww tu mbili sio tatu,baada ya hapo watakuletea option uinstal flash player yao,instal then tizama mechi live na mengineyo. tumia airtel ndo ipo faster.
Nina Nokia 210 asha nikiingia kwenye internet na kuplay wimbo kwenye youtube inaniandikia
serching for networks halafu check connection setting na hai play, naomba msaada wa ku connect hiyo media...
Wandugu
Nimevamiwa na malware aina ya Win64:Sirefif au kitu kama hicho. Mwingine ni Win32:Gen
Nashindwa kudownload chochote. Yaani browsers hazifanyi kazi. Kwa hiyo hata nikitaka kudownload MBAM...
Kuna uzi niliuona huku kuna mtu anatengeneza stabilizer cum stepup transformer, kwa yeyote anyefahamu anijuze kuna dili nataka kumpatia huyo jamaa. Please ni-PM
Habari zenyu wakubwa..
Nafahamu ya kuwa unaweza kutumia Modem mbili at the same time ili kuongeza speed ya internet, Sasa nilikua nauliza kuwa je ukiconect PC yako kwenye Wi-fi alafu at the same...
Habari wakuu,
Naomba msaada kwa yeyote anaejua jinsi ya kuondokana na tatizo hili. Ni Samsung s3 inapiga na kupokea simu, inatuma na kupokea messages na everything kipo fine isipokuwa internet tu...
Tuna organization yetu ambayo ina deal na mambo ya youths, tulikuja na idea ambayo inahusisha masuala flani ya transaction kupitia simu na hiyo idea tulijaribu ipush kwenye makampuni mbalimbali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.