Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
nimeziona kwenye google nimezipenda, cjui mwanza ntazipata wapi?
0 Reactions
1 Replies
854 Views
Wakuu ni siku ya pili leo nashindwa kuona picha zilizotupiwa JF za matukio mbalimbali. Natumia Nokia Asha 200 na kabla ya hapo nilikuwa nazipata bila shida. Nikiingia mitandao mingine kama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
hiv jaman kwann satellite dish hazitangazwi kaa mbadala wa wasioweza kulipia ving'amuzi, maana nijuavyo satellite dish zinashika local chanels. au ipoje msaada maama hata mie nina mpango na dish...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar wana jamvi Naomba msaada kwa yeyote anae fahamu free thin client software, nimejaribu kuinstall open thin client but napata error so kama kuna mtu anajua nyingine plz help! Natanguliza...
0 Reactions
0 Replies
602 Views
Wakuu naomba mnisaidie kusolve hili tatizo linalonisumbua mara kwa mara kwenye connectify dispatch maana nimejaribu njia zote bado ngoma nzito. Tatizo lenyewe nikwamba ukishainstall hiyo program...
0 Reactions
1 Replies
250 Views
Habari wanajamii. Nimenunua dish la zuku na kwenda kufunga kijijini kwetu kutokana na maelezo niliyopatiwa na wakalaila bado cjafanikiwa leo nipo mjini nimeambiwa maelezo hayakua sahihi na jamaa...
0 Reactions
6 Replies
10K Views
hello friends hivi hakuna any software ambayo unaweza kuiweka kwenye laptop so that kama laptop imeibiwa niweze kuitrack?
0 Reactions
2 Replies
934 Views
natamani sana kujifunza ufundi simu, kote upande wa hardware na software...niko mwanza..km kuna anaweza nisaidia, tuongee
1 Reactions
12 Replies
6K Views
Kila nikiwasha mashine yangu kuna programs zinastart tena zingine hata cjui zilitoka wapi kwani sikuziinstall mfano ni "marketresearch" ambayo huanza kuinstall everytime nawasha mashine na siku...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
wakuu naweza pata wapi idm yenye full verson nimejaribu kuinunua torrent lakini inaniambia nifanye registration sielewi kiukwel.... hiyo ni moja then kama mtu anaweza akanitatulia tatizo la...
0 Reactions
3 Replies
877 Views
Kama kuna mwenye keys za avast antivirus naomba anisaidie.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ohhh Nime-release hii program leo karibuni tena: Summary: This tool helps you to lock your PC when you don't have to shut it down. You can lock for defined time or resume by entering password...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Hizi zinauwezo kukamata channel zote za dstv free.
0 Reactions
2 Replies
904 Views
nmebadlisha window from 7 to 8 but nna tatizo la divx nmejarbu kuinstal ilipkuepo inagoma msaada mwenye divx ambayo iko compatible na window 8
0 Reactions
4 Replies
731 Views
No root but it drains battery very fastl Sent from my SGH-I897 using Tapatalk 2
0 Reactions
0 Replies
651 Views
Wakuu, kuna modem ya airtel ilikuwa inafanya kazi vizuri tu, mara ikawa ukiiplug na kutaka kuconnet inaleta msg kwamba device is already in use or is not configured propery. Shida ni nini...
0 Reactions
1 Replies
971 Views
Mwenye simu izo hapo ani pm tufanye biashara
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau nahitaji msaada niweze kufungua file lenye extension ya .PMD , sina progr ya Adobe Page Maker. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
2 Replies
906 Views
najua wapo wataalamu wa aina mbalimbali humu jamvini naomba anijuze kuhu matumizi ya kitaalamu pamoja na tofauti zake 1.iphone 2.smartphone 3.tablet Si unajua tena sisi ni wakule mwakaleli!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Windows cannot Install required files.Make sure all files required for installation are available,and restart installation. Error code:0x80070522. Maelezo: Ninapata message hii ninapotaka ku...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom