Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wapi inapatika hii simu Htc dual SIM desire SV hapa Dar es salaam?
0 Reactions
4 Replies
831 Views
Picha, music, documents zipo kwenye cm lakini sizioni. Nikiconect kwenye pc naona shortcuts zake na nikifungua naziona. Ila kwenye simu hazionekan kabisa!! Msaada pls
0 Reactions
0 Replies
646 Views
Heshima wakuu Naomba mwenye maujanja hayo anisaidie namna ya kununua paid application
0 Reactions
4 Replies
906 Views
Naombeni msaada waungwana namna ya kurudisha software ya webcam katika minilaptop yangu ya samsung N150 plus. Mwanzo nilikuwa nikitumia cyberlink youcam kwenye windows 7. Niliondoa wimdows 7...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
i bought Huawei cdma, lile simu kubwa la mezani kitambo sana...speed yake ni 256kb/s...kwa zamani nadhani ilikua ni speed iliyokua inakidhi maitaji yangu..OLD IS GOLD,nimeitunza sna,sasa nilikua...
0 Reactions
0 Replies
883 Views
simu yangu inazingua network inakuja na kusepa,nimejaribu kureset bila mafanikio,sometimes inanionyesha km na roam vile,sijui tatizo nini,msaada ndugu zangu..
0 Reactions
1 Replies
805 Views
Hi, Naombeni msaada kwa yeyote anaejua kuhusu BB software nimewipe BB bold 9700 ilkuwa na OS ya v5 nilitaka kuweka v6 imeniletea white sreen na msg hii Reload software:507 nafanyeje maana...
0 Reactions
0 Replies
816 Views
kuna mtu anaweza kujua professional wanaoweza kudowngrade psp isiwe inatumia UMD na itumie memory stick
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani nataka kujiunga na internet kwenye simu yangu C6112 , naomba maelekezo.
0 Reactions
0 Replies
685 Views
let share our own made opensources softwares
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa yeyote anayehitaji Windows 8,office 2013 nafanya installation pamoja na drivers.Please contact me through 0712920334. I'm in Dar es Salaam
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Uchambuzi: Sababu za Apple Kutamba Kwa Apps Apps huwa zinatangulia kwenye iOS na nyingi za hali ya juu hubaki kwenye platfomu hii kwa muda mrefu na nyingine huishia kutopatikana kabisa katika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Watsapp ni nini?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Internet is one of the most effective marketing tools now. So getting your company online will help you in increasing your sales. If you can manage to do the techniques to increase the amount of...
1 Reactions
9 Replies
917 Views
jamani naombeni msaada kwa yeyote mwenye activation key za window 7 home premium
0 Reactions
0 Replies
658 Views
jamani ndugu zangu hivi ni kwanini huduma ya m pesa imekuwa kero mara haipatikani mara msg hazirudi wakati pesa imeenda na mengine kibao. Kama mnashindwa mseme tuhamie kwingine
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Kwa anayefahamu namna ya kutengeneza page hadi ikatokea kwa kutumia TYPO3 Content Management Sys, anipatie na mie ujuzi huo tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
793 Views
Hi jf natumia iphone 5 nili download apps za jamii forum kwenye simu yangu miezi mitatu iliyopita na ilikuwa inafanya kazi vizuri tu wiki kama mbili hivi nikiifungua inafunguka ila nikianza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomben maelekezo wana jf jinsi ya kujiunga na zantel offer ya unlimited bundle in which they charge you ten thousand for three days...nina modem ya airtel ambayo nimeiflash kutumia line zote...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
wakuu- mie kwangu hii kitu wananipunguza sh. 200 hata pale nisipojiunga.. Niaje hapa wakuu.. Au ndo automatic kujiunga??
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom