Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kama kichwa cha chapisho kinavyojieleza nina samsung a12 nimevuruga patten nahitaji kui hardreset but inakataa kila nikijaribu naombeni msaada hata wa program kama ipo
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Teknolojia kila siku inazidi kuwa kubwa kwenye nyanja mbalimbali. mifumo ya virusi katika kompyuta ilitegemea sana kuathili sehemu inapotunzia OS na hard disk sababu ndizo zilibeba vitu vingi vya...
2 Reactions
1 Replies
627 Views
Hatimaye Umoja wa nchi za ulaya (EU) umeafikiana makubaliano ya kutumia Usb chaji aina moja kupitia simu zote zitakazotengenezwa mwaka 2024. Mpango huu unahusu vifaa vyote vya kieletroniki kuanzia...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Jamaniiiii eh Nina plan ya kuanzisha usafiri mtandaoni ambapo kutakuwa na App ambayo mteja ataingia na kuchagua au kupata dereva. Mfano kama wanavyo fanya ping Utaratibu huwa upoje
1 Reactions
6 Replies
860 Views
Wakubwa habari za leo,simu yangu aina ya samsung galaxy 20 plus ina tatizo ninapohitaji ishike 4g simu inashindwa kabisa kufanya kazi lakini 4g inaonekana nikiirudisha 3g tatizo linaisha.msaada...
1 Reactions
7 Replies
567 Views
Habari zenu wa JF. Jana nilianzisha uzi wa kuomba msaada hakika mpaka sasa sijapata msaada. Tofauti na kusema nimeandaa mpunga kwa atakaeweza nisaidia lakini wapi! Maelezo yako hivi nina Samsung...
3 Reactions
38 Replies
5K Views
Wakuu salama humu, Ninahitaji kufanya factory reset ya simu aina ya Tecno Pop 2. Nimetumia njia ya kubonyeza button ya power na volume up ila majibu nnayoyapata nimekwamia hapo hapo ndo maana...
1 Reactions
33 Replies
12K Views
hii brand ya xiaomi nimeona imeanza kutrend ukiangalia hii redmi 10c ya gb 128 ina sifa nzuri lakini kwa sisi wadau amabao hatuwajawi kutumia hizi nataka kufahamu ubora wake wa camera pamoja battery
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habar ndugu wanajamvi?? Ni app ipi au nitumie njia ipi kujua location ya siku nzima mtu alipokuwa au kwenda.
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari za mda wadau naomba kujua au kufahamu ni app gani ya uhakika na isiyoyakulipia naweza itumia kuhack no ya mtu ili nipate message na call anazozipokea bila yeye kujua. Nawasilisha ni kwa...
1 Reactions
20 Replies
11K Views
Wakuu katika kutafuta kioo cha iPhone xr online nikakutana na hii Aina mpya ya kioo inaitwa OEM Na bei yake imechangamka kidogo kuliko OLED. Naombeni msaada wa aina ya hicho kioo kabla sijanunua.
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Sijui nilibonyeza wapi hata sikumbuki. Nilijikuta nikitype neno lolote inatamka neno au nikiandika namba inatokea sauti kutaja hiyo namba, kitaalamu wanaita (TALKBACK). Imekuwa inanikera sana...
1 Reactions
0 Replies
447 Views
While we can rely on a spell checker to catch glaring errors, a computer can’t pick up on all careless mistakes, especially if the word could be correct in a different context. Often word misuse...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba msaada ....Tv yangu Hisense 32" imeleta shida kwenye mkanda unaounganisha motherboard (engine) na screen hiv kuna uwezekano wa kupatikana?
1 Reactions
2 Replies
820 Views
Habari, nimenunua samsung note10plus ... no zile used za Dubai . Tatizo ni pale watu wakinipigia simu mi nawasikia vizur kabisa ila wao hudai kuwa simu yangu Ina kelele mno. ..yaan wakiongea saut...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyoeleza, kifaa ni simu (smart phone). Wengine hatupendi kupakua movie ila kuangalia tu online, tatizo ni kila muda movie inagoma hakuna hata raha ya kuangalia...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, wengine kutokana na harakati zetu muda mwingine tunakosa wakati wa kukaa kwenye TV kuangalia mechi hivyo naomba msaada kwa anayefahamu sites...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama heading inavyoeleza, tv yangu aina ya SAMSUNG ina hilo tatizo na sijui kuna mtu hapa nyumbanialichezea kwakweli sielewi. Hivi sasa Nlnaangalia mpira ils kwa shida kwani channel zinajibadili...
3 Reactions
32 Replies
1K Views
Wenye Feedback Ya Huduma Ya Vodacom KASI Internet Unlimited Za Speed Kubwa Na Ndogo Ningependa Kufahamu Kama Inasaidia Na Hili Janga La Bundle
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom