Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
wanandugu nataka kununua modem kwa ajili ya kazi zangu za ofisi na zile binafsi. sasa naomba kufahamu kampuni gani ina best rate at reasonable cost kati ya Voda, Airtel, Zantel au tigo. naomba...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Msaada wa PROGRAM inayoitwa UNIVERSAL MASTERCODE v. 04 au program ya kumchakachua huyu safaricom nijivinjari Tanzania.
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Naombeni msaada laptop yangu aina ya COMPAQ presario CQ 50.. port yake ya HDMI haifanyi kazi ghafla tu baada ya kubadili window toka window 7 ultimate kwenda window 7. Nimejaribu kurudisha window...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habarini za asubuhi? nina blackberry yangu 8310 curve nilitumiwa toka Canada ,toka nimetumiwa mwaka jana sijaweza kuitumia kwani inasumbua kwenye network ina potea na kurudi na hata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau naomba mnisaidie kwa hilo nilidownload pdf reader lakini sasa inaomba code ntazipataje?
0 Reactions
0 Replies
185 Views
Natumia Sumsung Galaxy Tab 2 10.1 ,ila nasindwa ku comment vyema nikiingia humu JF ,nikitaka ku comment nikiandika mfano neno " Habari hii " zinatokea hefufi mfano " k h" Naomba msaada pleaz.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamaa wadau naomba naeombeni msaada blackberry yangu Bold 9780 mpya nimenunua,ila ina tatizo la kujizima na kujiwasha,mwenye ujuzi anijuze!
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wana jf naomba kwa yoyote anaejua software ya ku lock CD,DVD ili mtu asiweze kutoa copy
0 Reactions
0 Replies
757 Views
wanandugu nataka kununua modem kwa ajili ya kazi zangu za ofisi na zile binafsi. sasa naomba kufahamu kampuni gani ina best rate at reasonable cost kati ya Voda, Airtel, Zantel au tigo. naomba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hiki kitu hakina ios ndani yake na ukiwa unainstal ios karibia na mwisho inakataa na kuonesha error 1604 na nyinginezo,nifanyeje natanguliza shukrani
0 Reactions
1 Replies
768 Views
Naombeni msaada wenu, nimefungua Blog yangu inayohusu maswala ya elimu na biashara. Swali langu ni jinsi ya kitufe cha komenti wakati mtumiaji anatumia simu, nimejaribu nikakuta inanionyesha pale...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
eti kwa 250 utaweza kudownload miziki,updates,habari za michezo mbalimbali kifurushi chenyewe unapewa Mb5.wakati unakuta nyimbo moja ina mb10. Wadau hii imekaaje?
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Wakuu hii kitu inawezekana kweli manake nimetafuta sijafanikiwa kuiona mwenye maujuzi anisaidie.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari wakuu jf ninatafuta samsung galaxy 2 ilitumika ya bei nzuri kwa yoyote mwenyenayo anijuze 0655200004 natanguliza shukrani.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naombeni msaada laptop yangu aina ya COMPAQ presario CQ 50.. port yake ya HDMI haifanyi kazi ghafla tu baada ya kubadili window toka window 7 ultimate kwenda window 7. Nimejaribu kurudisha window...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani mimi nina kimbembe Kuna doc ya PDF ambayo nimeweza kuiconvert into Word sasa kwa sababu ilikuwa ni scanned doc nataka niweze kuiedit in Ms Word Nimekwamba nishadownload OCR softwares na...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
10 great inventors who helped change our life Thomas Edison - the lightbulb and many more. One of the most prolific inventors of all time The Wright Brothers - for making the first flight...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Sijui inaweza kuwa ni setting au ndivyo ilivyo yaani unapo click kufungua post inafungukia katika post ya chini kama ukurusa ulikuwa na post 10 basi inaanza kuonekana ile post ya 10 na ili uende...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
msaada toka kwa wataalam wa mambo jaman mashine yangu tajwa juu hapo inapiga copy upande mmoja wa karatasi vizur ukiigeuza karatas hyo upande wa pili inafifia naomba msaada kutatua tatizo hlo
0 Reactions
3 Replies
2K Views
How to install Android 4.0 Ice Cream Sandwich on HTC HD2? Yes, I am sure that you will ask this question if you have HTC HD2 with older Android version like 2.3 Gingerbread. Basically, the Android...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom