jamani tangu hawa jamaa watuambie kuwa wanamitambo ya 3.75G mbona muda wote inakuwa edge au gprs? kuna haja gani ya kuendelea kuwatumia wakati inachukua zaidi ya dakika 10 kufungua page moja...
mimi nataka kudownload files hasa pc games kwa kutumia torrent lakini nimeambiwa kuwa ili udownload torrent file ktk torrent site fulani ni lazima uwe umesha upload file lenye ukubwa sawa au...
wakuu mi c mtaalam wa haya madudu nahitaj kueleweshwa.kwa bahati mbaya nilifuta channels zote ktk dish . nilikuwa nashika channels za kibongo na nyingine kama ndtv hindu ,aljazera,cctv,znbc, na...
Naombeni msaada jinsi ya kupata internet settings ya nokia c1-01. Kila nikijaribu ku accept configuration settings inaniandikia "only 70 items allowed, settings discarded, halafu inatoa option ya...
AtdheNet.TV - Watch Free Live Sports TV kong'oli hapo utazame soka live bila chenga. ni internet yako tu ndo itakuangusha otherwise mwendo mdundo.
http://www.atdhenet.tv/...
Kwa yoyote anaye jua ubora ua mapungufu ya Android 2.2 kunamtu anataka kuniuzia lakini sijui hata bei yake dukani na uzuri wake kiundani plz anae jua anisaidie kuijua vizuri nisije kuingia kichwa...
Wakuu
Mtu kaniletea i Pad hapa sasa ataka baadhi ya file kutoka kwenye computer kwenda kwenye ipad, ex, vitabu, movie,music joke clips
Nimejaribu ku google lakini sijapata hopeful results can...
Wakuu nilikuwa na update iphone yangu 3gs kilichotekea ni kwamba kuupdate ilionyesha imeupdate kwenye itune ya computer lakini kwenya simu version imekataa na kurestore ikagoma tena.Hapa nilipo...
samahani wana JF kunatatizo moja limejitokeza
nilikua na simu Vodafone 858 smart: OS>android 2.2 floyo ,ilikua na GPS, speed ya net ilikua inasoma hadi HSPDA(4mbps) ,ilikua ina apps nyingi nyingi...
Kuna Website ambayo inategemewa kufunguliwa hivi karibuni inajulikana kwa jina la wazzub.com, imekuwa ina endesha mchakato wa kurecruit new member kabla ya siku yake ya kuzinduliwa kwa madai...
Hello friends, in my previous posts i have discussed how to hack email accounts or passwords using several techniques. As i have said there i will share with you how to prevent email account...
Makala hii imekopiwa toka AfroIT Blog
Teknolojia tuyayoiamini ni ile inayobadilika ili kukidhi matakwa ya jamii husika, mabadiliko hayo ni lazima yaendane na ukuaji wa ufahamu kwa watu...
Jamani wataalam(Chief Mkwawa et al), nimedownload kaspersky security ila haina option ya free trial, kwa hiyo nahitajika kununua ili nipate codes. Problem is, sina pesa, kwa hiyo naomba kusaidiwa...
Hivi ni mimi peke yangu au hawa Wazee wa 3.75G ya uwongo wameamua kukata Data Service tangu saa Mbili asubuhi leo.
Na kama ni hivyo kwa nini hawatoi taarifa?
I have developed a simple MS access program using MS Access 2007, but i have failed to create a login screen. Pse wadau help me codes for implementing this.
Wakuu wenye maujuzi ya web designing nadhani itakuwa sahihi niseka wa case hii web designingI mean CSS
nina issue kwenye hii Gym yangu ya mazoezi ya IT kwa vitendo . Baada ya muda nmefikiria...
Nadahani wengi tunafamu umuhimu wa Task Manager katika MS Windows OSs. Kwani ndio inaonesha program zinazorun kwenye kompyuta, process zote, amount ya memory, kipaumbele cha kila process n.k...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.