Habarini wana jf,
Kama title inavyojieleza.
Account yangu ya twitter ilifungiwa kwa muda usiojilikana na nikatumiwa ujumbe kuwa "your account has been permanently suspended".
Kwamba inaonekana...
Nina simu tajwa hapo juu ina tabia ya kujipunguza sauti kila siku, hivyo nalazimika kila siku asubuhi kuiongezea sauti na hii imekuwa ni kero sana, je tatizo litakuwa ni nini?
Natanguliza shukrani
Wakuu naomba kupatiwa steps za ku-assemble & install printer tajwa hapo juu,nimejaribu kugoogle lakini naona sijafanikwa.Msaada unahitajika haraka sana
Asanteni sana
Wakuu habari ya nyie, hopefully mko poa, Leo nimepata shida kidogo kwenye kimeo changu cha redmi 8a, kimeingiliwa maji kidogo, sasa msala ni kwamba, upo kwenye mic na spika.
Mtu akipiga ina ita...
Jamani naomba kufahamu kitu hivi Kama Nina simu yangu charge yake OG inaoutput ya 5V----1A na betri lake Ni 2000mAh na huwa inatumia almost two hours kujaa.
Je, nipata tatizo endapo nitatumia...
Habari wakuu wa Jukwaa.
Leo ninaomba kushare vitu vichache kuhusu vioo vya simu tunazonunua. Sometimes inaweza kua applicable katika Tablets au Phablets (Between Phone and Tablet).
Nisipoteze...
Habarini za jioni,
Naombeni msaada kidogo katika hili.
Kuna kipengele kimoja katika "Python programming language" kinaitwa "Regular Expressions".Hiki kipengele kinanichanganya kiasi katika...
Habari za muda huu wakuu, Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza hapo juu.
"Advertising access restricted" ndo ujumbe unaonijia kila ninapohitaji ku-Boost matangazo yangu, So please mwenye ushauri...
Wadau Leo naomba mnisaidie tunajifunza kuwa Dunia inazunguuka kwenye mhimili wake lakini pia inazunguuka jua...
Kama ni hivyo mbona ukifunga dish huku Duniani na satellite huko angani..
Kama Dunia...
Umeshawahi kujiuliza kuhusu satellite [emoji341] kwenye huu ulimwengu wa dunia ni Nini ? [emoji848]
Najua watu wengi mlikua hamjui angani Kuna zaidi ya satellite 6542 zilizo active ni 3372 wakati...
Habar Za midaa Hii wana jamvii???
Huu ni uzi maalum kwa ajili ya tecno kama heading inavojieleza. Wengi wetu humu tunatumia tecno wereva.
Basi tushirikishane kwenye uzuri, ubovu na matatizo ya...
Ndugu wana jamvi,
Naombeni kujua vyuo vinavyotoa kozi za ict ngazi ya certificate au diploma kwa hapa tanzania ,kwa njia ya mtandao.
Nb.nina bachelor katika fani nyingine,o level nina C ya...
Umefuta Message kwa bahati mbaya ??
Kuna wakati unajikuta katika kupunguza punguza vitu basi kwa bahati mbaya ukafuta (sms) au taarifa zako muhimu. Je unatakiwa upate stress🤔? Hapana!
Kuna mbinu...
1. Suppose an application sends messages of 100 bytes 90% of the time and messages of 900 bytes 10% of the time. The transport, network and datalink layer add header/tails of 20, 20 and 18 bytes...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.