Ninataka niweke window 7 kwenye PC yenye window XP S P 2 ila kuna programs na documents ninaweza poteza, hivyo nikafikria option ya reparing. Vipi hii kitu inawezekana?
Habari ya saizi wana jf,nna shida moja naomba msaada wenu,pc ambayo naitumia ina users waili,administrator na user,sasa mimi naruhusiwa kutumia user ambayo iko restricted,vitu kama ku install...
Katika huu uzi nitakuwa naweka link za framework tofauti tofauti za Java, nimegundua kuwa madeveloper wengi wa Tanzania hawana ufahamu wa framework za Java. Leo nimeanza na Seam Framework kwa...
Wanajamii forum hamjambo wote! Safi. Kuna hii iliyoanzishwa vodacom dstv mobile ambayo inakuweza kuzama channel zipazo 5 kwa njia ya streaming video kwa sasa, hasa kwa wale wenye simu yenye uwezo...
Wana JF naombeni kama kuna mwenye utaalamu wa kutuma habari au taarifa kwenye mtandao anisaidie,namaanisha hata kama sina website,najua huenda suala hili likahitaji shule ya mda mrefu lakini just...
www.JigambeBlogs.com ni web application ambayo inafanya kazi ya kuunganisha bloggers na advertisers. Inawezesha bloggers kulipwa kwa ajili ya kuandika posts zinazosifia bidhaa au biashara au...
habari zenu wana jf,
naomba yeyote mwenye ujuzi hapa tafadhali.nina modem ya sasatel,ila nashindwa kuiunganisha kwenye mtandao,nimefanya procedure zote lakini nikiconect inaleta meseji kwamba ...
Kuna kitu huwa nakiona katika laptop adapters nyingi. Huwa ni kama cha duara hivi na kinawekwagwa kabla ya pin ya kuchomeka adapter katika laptop. Sasa nimeshindwa kuelewa ni cha kaz gan na kina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.