Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wataalamu wa Teknohama, naombeni msaada wenu katika VB 6.0, ninataka kudevelop program flani hivi. Sasa nataka mnisaidie codes za kwenye Login Form, kwa kutumia maelezo yafuatayo:- 1. Nina...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimemalaiza shahada yangu ya ICT , kwa sasa nataka nijendeleze zaidi kwenye prof. courses, natamani niwe na OCP kwa kuanzia, nimesoma na ninaelewa oracle 10g Administration part huko kenya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaade kwa haya yafuatayo 1. Wakati na access mtandao wa Jamii forums bahati mbaya bila kujua nilipunguza size ya maandishi na window. Leo tena nikiwa facebook nimefanya hivo bila...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakubwa kamera yangu aina hiyo imeharibika mechanism ,nilipo ni nje ya Dar,mafundi wa hapa wanasema inahitajika mechanism mpya,naweza kuipata wapi. Aina ya Kamera ni kama hii
0 Reactions
2 Replies
2K Views
computa mpya,nimetumiwa computa mpya naiwasha inaandika maneno yafuatayo nifanyeje?non system disk error,replace and stike any key when ready
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nilikuwa natafuta msaada wa itune , nilikuwa na itunes , mara siku moja ikawa imefuta miziki yote kwene library, ikawa haifanyi kazi tena , nika down load mpya , lakini kuinstall, ikakataa ina...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani mimi toka nimeijua kompyuta kuitumia sasa ninakama miaka 5 hivi, na windows xp ndio os niliyoijua kwanza na juzi juzi tu ndio nimeupgrade kwenda windows 7 mahali pote nilipo kwenda mimi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wakuu? mimi ni mteja wa tigo kwa huduma ya internet, nimetumia huduma yao kwa takriba miezi miwili bila shida yoyote.....Toka jana nimekuwa napata usumbufu mkubwa mno wa net...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Natafuta hii simu ya mtumba,kama kuna mdau tufanye business
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Why Tanzanian Internet Access Prices Have Not Decreased with the Arrival of SEACOM Recently, Ory Okolloh (aka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Antivirus Faceoff: A Non-Alarmist’s Guide to Mac Malware Protection...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Service won't directly compete with Apple's offerings, but may threaten them via Android tie-in or piracy Many have tried and failed. Apple, Inc.'s (AAPL) iTunes, which...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
HABARI za mida hii wana jf...wanandugu jamani kwenye pc yangu nina folder lipo kwenye drive D lakin linakataa ku-open wala ku-delete nimejaribu kila mbinu...ndani kuna vitu ambavyo vina nafasi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wadau naombeni mtupe jamvini link au set up za software za kutengeneza logo na nembo mbalimbali......ninayo the logo creator v5 but cijapendezwa nayo...naombeni software nyingine wadau..
1 Reactions
6 Replies
7K Views
salamu aleykum wana jamvi, nina external driver western digital 480 gb,nimeweka data zangu ambazo ni kama 80% capacity ya storage, lakini jana nikajaribu kufanya kazi( ku access) nimepigwa na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
The Intel logo, displayed outside its corporate headquarters in Santa Clara, Ca., in April. Intel Wednesday unveiled new transistors that allow powerful microchips to run on less power. (Paul...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hellow pipo jst got back in here...wana say hellow
0 Reactions
1 Replies
851 Views
naombeni msada wenu .nina dell inpiron 640m ram yake kuwa over loaded sana keyboard ina ji fanyia vitu kivyake meaning ina kuwa kama ina ji press yenyewe hadi mashine inakuwa nzito nime badili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nki open gta3 na some of games kwenye my laptop napata error message inasema you need 12mb video memory, but kwenye disc c na d kuna more than one gb free memory, nni tatizo na nifanyeje?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wanajamii nimenunua firewire card yenye namba PCI FIREWIRE IEEE 1394A, nahisi ni ya kichina sababu cd niliyopewa haina drivers zake. Naomba msaada wa source za ku-download hizo download sababu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom