Hi members, laptop yangu inatatizo la kuboot, nimetest CD-Drive, na HDD ni nzima zina boot kwenye mashine nyingine, nimejaribu kuformat inasoma CD, nikopress any key haindelei, help plzzzzz
Tue Jan 18, 4:02 pm ET
Get ready for the next generation of passenger airplanes.
NASA has taken the wraps off three concept designs for quiet, energy efficient aircraft that could potentially...
Wadau screen yangu ya Laptop aina ya IBM ThinkPad T30 imekufa, sasa nataka kuibadilisha, je zinapatikana wapi hapa Bongo na kwa bei gani? Mdau anayejua naomba msaada jamani.
Wandugu naomba kushare hii kitu naona imetulia,
Using this method, a user can shutdown, restart, hibernate, etc. his or her computer, just by sending an email from his or her phone.
To do...
Hapa jamvini pana wajuzi wa IT wengi sana, wakiwemo ma-mods. Kwa nini imeshindikana posts kuwa arranged serially kwa kufuata tarehe za ku-post? Yaani most recent ziwe mwanzo. Kwa sasa utakuta...
Jamani, hivi TIRDO, au Tanzania Industrial Research and Development inafanya kazi gani tena? Mbona hatujawahi kusikia popote kuhusu tafiti zao wanazofanya? Halafu wanafanya nini tofauti na ile...
Jamani naomba mnisaidie namana ya configure outlook ili iwe na uwezo wa kupakua e-mails zangu na niwe nasoma hapo. AU niseme naomba kufundishwa NAMNA ya kutumia outlook
Heshima kwenu wakuu wote wa jf hususan kitengo hichi cha sayansi na tekn.mimi nahitaji kutengeneza virus asie kuwa na madhara.najua humu ndani mpo wakali wa mambo haya. Mnielekeze hatua kwa...
Habari wakuu!!:A S 27:
Kupitia JF Naomba mwenye kuniwezesha Kupata Link ya free download Software ya Business-in-a-Box Pro.
Ni matumaini yangu kuwa ntapata support kwa wanaJF.
Asante sana!
wakuu ninahitaji msaada wa program or software ambayo na weza kulink na watu pande zote za dunia niweze kufanya nao kazi kwamba anahitaji kuflash au kunlock alink na site yangu na mm...
To IT pros and beginners, try this download manager
Best Download Manager - FlashGet
Download FlashGet 3.7.0.1156 - FileHippo.com
But take care guys, there is no free lunch
Bandugu,
Hamjambo, naombeni msaada wenu, kwa mtu anayejua namna ya kupa ta hii software ya adobe photoshop element 4.0 ama version ya juu yake, nimepoteza cd ya camera yangu, so the only way...
hello guys.
wana jf kwa wale ambao wako intrested in knowing maujanja in IT regarding different programming language,wanaweza kuja hapa wakaona kwa vitendo kabisa since maelekezo yake yako kwa...
Habari wandugu wa JF,
mimi ni miongoni wa mapenzi wa movies. Sasa ninamtindo kila nikimaliza kuangalia movie huwa naenda kwenye websites (e.g rotten tomatoes) kutoa reviews zangu au hata tu...