Wakuu naombeni msaada wenu kugundua nini kimekosekana kwenye hii program yangu, najaribu kuicompile kutumia gcc filename -o filename but lakini naona inakubali lakini hainipi result ninazo taka...
Msaada kwenye tuta wana JF.
Natafuta fundi mzuri wa laptop ambaye anaweza kunisaidia kurekebisha laptop yangu yenye tatizo la kutokutambua (recognize) betrii wakati ikiwa kwenye umeme. Bila umeme...
Naomba wadau tujadili issue hii
Hivi katika kurusha na utumaji wa picha za video vituo kama Aljazeera ,CNN nk wanatumia Tecknolojia ipi hasa katika kutuma picha hali inayotushnda sisi wabongo...
Wanajamvi
Kwenye elimu tulizosoma za IT tulifundishwa kuwa kuna aina at least tatu za Mifumo ya computer.
Transaction Process System
Management Information Sysstem
Desion SUppport system...
Kila nikufungua hapa nakutana na lugha nisizojua kabisa mara soft nini mara nini ,jamani mnatutesa hivi hii store ni ya masuala yenu ya IT tu itabidi nianze kujifunza ,hongerereni sana wataalamu...
Motorbikes could soon be sporting collision detection and other safety features more usually found on cars.
Research is testing ways to put these systems on motor bikes and how best to alert...
Wakuu habari za hapa.
Mimi niko hapa Moshi najaribu kuunganisha maisha na gundi ya maji. Hivi karibuni kijana wangu kanishauri nifungue internet cafe. Nimezunguka na nimepata sehemu. Leo alikuwa...
wakuu na wataalam wa ICT na hata wanaojua sheria sheria hasa zinahusu mambo ya ICT
Nependa kujua je sheria ya Tanzania inayataka makampuni ya simu yahifadhi mawasilino yetu kwa kwa muda...
Baada ya kuelezea kidogo jinsi ya kutrace email na mambo mengine watu wanataka kujua jinsi ya kuficha ip address zao , wengine wameuliza kama forum wanazotembelea ni salama au la , wengine...
Namaanisha Quality and Quantity amabayo inahimili mikiki yote ?
Kwa sasa naona kuna aina kibao
nikianza na :-
Dell
Toshiba
HP
Acer
Beng
na nyingine nyingi!
Computer yangu ina Windows 7 Pro, 32 bit. Ninapotaka kudownload file na kusave, au ku-attach file kenye intaneti, Browser inapoanza tu kufungua explorer (upate list ya folders na files kwenye PC)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.