Ninatumia modem ya Zain kwaajili ya kwenye laptop yangu. Lakini kila nikitaka kudownload information kwenye internet, inanipa message hii: INTERNET DOWNLOAD MANAGER HAS NOT BEEN REGISTERED FOR 30...
wana jf kwa nini televisheni yetu ya taifa wakati wakuonyesha mpira wa live kutoka uwanyani wanashindwa hata kuweka muda (dakika) wa mchezo kwa mfano wakati wa mashindano ya chalenge waliboronga...
Naomba msaada wa source codes za kitabu hiki hapa kwa mwenye nazo(Wiley, PHP & MySQL Everyday Apps for Dummies (2005)). Mwandishi anaitwa JANET VALADE. Soft copy ya kitabu ninayo, lakini Souce...
Naomba mnisaidia hapa. Katika utafiti wangu nimegungua makapuni mengi yanayo fanya kazi za kutengeneza na kuhost website hapa bongo yenyewe haya website. Je hii ni strategy of business??
Waheshimiwa, flash yangu inasoma kama folder, nimehisi kuna virus na kuscan nikirudia lakini wapi!!!
Sijui tatizo litakuwa nini, natumia Kaspersky internet security 2011 na iko update.
Naomba...
Currently the internet has continued to be disrupted in Egypt following the closure of all section of internet traffic into and outside the country.
Today, six Al-Jazeera correspondents have...
Tanzania is one of the largest sorghum grower in Sub Saharan Africa, but very little is known as to why sorghum is not used in many households as food. The world weather is becomming more and more...
Jamani tujifunze,
mimi nimefanya kazi alla the way na MySQL pekee. Sijawahi tumia zingine zote ingawa nina PGS installed. Naomba kwa waliotumia zingine watuambie kuna tofauti gani technically. Je...
Is your laptop cooking your testicles?
Whoever invented the 'laptop' probably didn't worry too much about male reproductive health.
Turns out, unsurprisingly, that sitting with a computer on...
Salaam wana JF.
Natumia data analysis software (SPSS) nimekwama kwenye kipengele cha ANOVA jinsi ya kuelezea.
Mwenye kujua vema tafadhali naomba anisaidie...
Video ya makala hii inapatikana HAPA
Siku za karibuni,tuliongelea umuhimu na ukuaji wa vifaa au programu zinazoweza kufanya kazi za vifaa kamili(simulators),mfano mmojawapo ni kwa wale watu wa...
Wakuu, habari
Kuna anti-virus inaitwa Quick Heal nimeipenda sana. nilidowload ile ya majaribio sasa nataka ninunue. nisaideni jinsi ya kuipata. nataka kwa ajili ya matumizi binafsi siyo ya ofisi
WADAU NAOMBA MSAADA WA JINSI YA KU'CRACK SERIAL NUMBER ZA SOFTWARE
SOFTWARE YANGU YA SpeedUpMyPC IMENUSMBUA MUDA MREFU JINSI YA KUPATA HIZO SERIAL NUMBER.
The day part of the Internet died: Egypt goes dark
Egypt unplugs from Internet as protests loom; 'unprecedented in Internet history'
Jordan Robertson, AP Technology Writer, On Friday January...
kama wewe ni mtumiaji wa ipod touch,au iphone unaweza ukashangazwa na jinsi device hzo zilivo limited kwa baadh ya feature kama customization,downloading files from internet,na hata jinsi kila...
Baada ya kutumia flash disk yangu kuhamisha files toka kwenye komputa ya mshikaji wangu, file zote zinaonekana kama shortcut na hazifunguki, pia baadhi ya file kwenye komputa yangu zimepotea! Kwa...
Wana jamvi nina wazo. ambalo kama tukikubalina na kupata idadi tutakayokubaliana tunaweza kujaribu kufanya kitu fulani simple practically huku tuijifunze, kuelimishana na kufanya vitu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.