Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

A solar filament that had been lurking atop the sun for a week finally exploded this month, the latest in a string of large solar explosions that NASA scientists say will peak in 2013. This...
0 Reactions
2 Replies
993 Views
Scientists are becoming more convinced that there is alien life, and they say there are several possible scenarios that could lead to such a discovery: • Mars. The red planet has water underground...
0 Reactions
0 Replies
805 Views
Jamani mwenye kujua code ya namba hiyo hanisaidie. mmmiliki ananisumb ua kweli,akipiga nikipokea anauliza jina langu na kukata na baadaye kupiga tena karibu mara 10 kwa siku lakini mimi nikipiga...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Siri na michezo michafu ndani ya ICT Kwa original Post: AfroIT.com Je upo kwenye maandalizi ya kujikita kwenye huu ulimwengu wa ICT? ICT kama fani nyingine inahitaji maandalizi na uchunguzi wa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Please help me in resoving the issues I'm facing with Toad. I'm using Toad ver. 9.0.0.160 for Oracle 10g on Windows 7 Professional. Oracle 10g and Toad both are installed on same machine. My...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Biogas is produced from manure and some biodegradable substances in a special environment. People would not suffer if they could use this source of energy. Biogas can be used direct in cooking...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
This hapened in Germany. However the treatment is very risk and therefore will be expensive. Can poor people afford such treatments if confirmed? Sourse Leukaemia treatment 'cures'...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wazee naombeni msaada mimi nikinunua umeme wa 30000 haumalizi hata mwezi na sina matumizi makubwa nina frig moja tu na inatumika siku moj moja.taa nimefunga energ sever sina jiko wala nini tatizo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu, mimi tatizo langu nimedownload OS file la BlackBerry model 9700 ili niweze kuiflash simu yanu mimi mwenyewe, lakini tatizo nikillinstall lile file haliji kwenye desktope...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba ufafanuzi kwa anayejua hili; Kuna utaratibu gani wa kupata huduma ya internet ktk mobile phone aina ya blackberry kwa mtandao wowote (Tigo, Voda, Zain nk)? Unalipia kama unavyolipia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Fully licensed. Mwenye nayo aseme. Magumashi nitajua kwa sababu hata mimi ni mtaalam vilevile. Lazima ipite phase ka dhaa za uhakiki kabla ya kukupa mpunga wako. PM me
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wadau naomba nisaidiwe link nidownload adobe photoshop nipo kijijini mbali, nimeacha mjini softwere zangu. asanteni wadau.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wadau,Timu nzima ya AfroIT kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa Afya,tupo mbioni kukamiliusha hatua ya kwanza ya tovuti ya afya.Tovuti ambayo itakuwa inakuletea mambo mablimbali yanayohusu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello, We have designed and developed 120+ complex website applications. Listed below are few domains where we have worked and can customize it as per your requirement. We can show the demos on...
0 Reactions
0 Replies
832 Views
Nina modem ya vodafone. Nataka kui-unlock nitumie nini? Msaada tafadhali!
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Angalia wanyama waliogunduliwa Tanzania na hii ni mpya
0 Reactions
0 Replies
975 Views
The Hard Drive on your computer is where all your files are stored. Not only that, it's the place where the Operating System itself is installed. A hard drive is a physical thing inside of your...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani ku-"share" "information" ndio siri ya mafanikio ya mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla kama tuu tutageuza hizi information kuwa knowledge na ku-develop skills katika nyanja hii. hapa kuna...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wakuu, Kutokana na ttclbb kutokuwa hewani kwa sikuu kadhaa hapa kwangu, naamua kuangalia option zingine. Ninayo usb modem HUWAEI EC121 ya haohao ttcl (sijawahi kuitumia bado iko boxed)...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Waziri wa mawasiliano sayansi na technolojia prof.Makame Mnyaa leo hii alikuwa Mbeya katika Taasisi ya Sayansi naTecknolojia Mbeya kwenye mahafali ya 5.Ameweza kuwatunukia wahitimu zaidi ya 200...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…