Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Habari wakuu, Nina Iphone 3g ambayo sijui namna ya kupata setting zake za internet kwa mtandao wa airtel (zain) kwa yeyote mwenye kujua naomba msaada wa maelekezo tafadhali.
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Nimependa habari kutoka TCRA kuwa wana mpango wa kuhakikisha vyombo tajwa vinatumia ama mnara mmoja katka baadhi ya maeneo. hii itapunguza gharama za kuhudumia minara hiyo na utitiri wa minara...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wataalam napenda kujua kAm kuna mwenye detailed knowlnge ya Denial of service attack. Nimekuwwa nafutial website ya wiki leaks na naona wanalamika kuwa website yao imekuwa attacked kwa...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Wadau, Nimenunua multimedia player moja hivi Woxter i-Cube 2400, 1TB. Hata bado kuitumia ishaanza maringo. Siwezi ku-access (au haipo? lakini physically ipo) HDD, hata niki-connect kwenye...
0 Reactions
2 Replies
969 Views
ebu tazama hii inavyofanana na JF CLIK HAPA
0 Reactions
3 Replies
8K Views
WASHINGTON (Reuters) – A strange, salty lake in California has yielded an equally strange bacterium that thrives on arsenic and redefines life as we know it, researchers reported on...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dear all I Will highly appreciate if anyone will provide me with information on how I can get PDF software and how I can use it:frown:
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna machine najaribu kudesign nachanganya engine ya generator na inverter kupata umeme rahisi. una Idea yoyote ambayo itanisaidia?mwenye idea ya 500w, 1000, to 3000w alete hapa. Nipo Nachingwea
0 Reactions
8 Replies
2K Views
By David Mugwe (Bdafrica.com) The Kenya ICT Board has lined up a $120 (about Sh10,000) laptop grant for 15,500 university students in a plan meant to raise Internet access and computer usage...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
The hybrid helicopter car: U.S. military to develop futuristic vehicle destined for Afghanistan It is the latest weapon to defeat the Taliban - a James Bond-style armoured car that can fly...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwahiyo tumekuwa tukisoma na kujadili mambo kadhaa kuhusu taarifa za siri za Serikali ya Marekani kuvuja na kuingia kwenye mtandao wa WIKILEAKS na mtandao huo kuweka taarifa hizo hewani kwa ajili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Do you want to test your antivirus? Just download virus to your computer and wach what policy will by of your Antivirus... Important note: WE cannot be held responsible when these files or...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Tangu tumepata hizi modems imekuwa tabu sana, ila tuvumiliane. Hakuna anayependa kubanwabanwa. Sio kwamba hazifanyi kazi; tunataka ziwe huru. Tatizo: Ku-unlock ZTE modems unahitaji kuondoa ISO...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hallo wana JF! Jamani mimi natumia Windows Vista - Home Premium, ambayo ni 64-Bit version. Tatizo la hii ni kwamba karibu kila mara ninapo install windows update za microsoft,...na baadae...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Habari zenu wote wakuu wa hii J.Forums kuna Rafiki yangu ana matatizo na Laptop yake ya Dell kuhusu swala la Ku Connect Wireless icon yake chini imekuwa Disable Radio na nimejaribu kwenye hiyo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tafadhali naomba msaada kwa wataalamu wahusika. Nina laptop yangu ni hp nimeinunua kama miaka miwili nyuma lakini huwa siitumii sana. Operating system in windows vista na program za microsoft...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Nielekezeni jinsi ya kuunganisha thread zaidi ya moja kwenye thread moja hapo nimepapasa mpaka basi sasa naomba msaada hata invisible kama yupo karibu nahitaji baraka zako!!
0 Reactions
0 Replies
917 Views
kama unataka kupata maujanja chizicomputer :chizicomputer.blogspot.com
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Futa kumbukumbu kabla ya kuiuza kompyuta Nimejaribu kuipanga bila mafanikio,so kwa original Post: Nena HAPA Unataka kuuza kompyuta yako na kununua mpya,lakini kwenye kompyuta yako kuna...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
QUALIFICATIONS. 1.BACHELOR LEVEL CONCETRATION DATABASES. 2. METHODOLOGY (EXCELLENT IN UML). EMAIL: database.designer@live.com
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…