Create Own Fonts without any software
1. Click "Start"
2. Click "Run"
3. Type in "eudcedit"
4. The program that pops up is a hidden font editor that lets you create your own fonts and...
PLEASE FORWARD THIS WARNING AMONG YOUR FRIENDS, FAMILY AND CONTACTS!
You should be alert during the next few days. Do not open any message with an attachment entitled 'POSTCARD FROM...
Kwa sasa kampuni nyingi zinazotangaza bidhaa zao kwa njia ya mtandao zinaangalia zaidi uwingi wa watu wanaotembelea tovuti au blogu husika toka maeneo Fulani , wanaangalia tabia za watu hao...
Wakee nimeandaa hii video tutorial ambazo ni mfululizo kwa wale wanaotaka kujifunza GNS3 Ijue GNS3 - Sehemu II
Pia video za CCNA zipo kwenye maandalizi.
Kilongwe
Nimesakinisha WinXP Pro SP2 kwenye mashine moja nzee hivi, Dell Latitude. Sasa hiyo kopi niliyosakinisha ilikuwa ni kwa ajili ya akiba (backup) ya mashine za HP Compaq.
Usakinishaji ukafanikiwa...
Experience The 3D Revolution On Your PC‏
The Third Dimension Revealed
Presented by:
By Loyd Case, Content Works
Humans evolved with two eyes set several inches apart, giving us the...
Salaam wakuu,
Naomba kama kuna mtaalaam mwenye desa la memorundum of association . Nataka kufungua company ndogo ya IT. Thanks in advance.
Email: supa.engineer@live.com
Waungwana ninahitaji motherboard ya Laptop, Dell Latitude ATG D630, kama kuna mtu anayo, au anafahamu zinapatikana wapi anijulishe, mpya au used zote zinakubalika.
Greetings all,
Please I would appreciate for your help. Today I learnt that my email account was accessed by strange IP's. I really dont know what happened and I dont know what I should do...
As a certification exam, it is well known that passing the 000-087 exam has become a global standard for many successful IT companies. Are you preparing for the 000-087 exam? Examsking will...
nenda start.click sehemu iliyoandikwa run.na andika neno hili. control userpasswords2
baada ya hapo clik reset na unaweza kuchaguwa password mpya.
kwa wale waingereza
Open...
Katika miaka hii ya karibuni nyumba na ofisi nyingi zimekuwa na microwave ovens ambazo huwa zinarahisisha kazi kwa kiwango kikubwa.
Tatizo linakuja pale linapoharibika, jee disposal mechanism...
jamani laptop yangu ni toshiba, niliiformat, wakati naiformat sikuidelete os liyokuwepos sasa kuna os mbili, nahitaji kuiondoa os iliyokuwepo na nataka ibaki moja tu, sasa nifanyeje ili itoke bila...
Wana JF naombeni msaada wa link ya kudownload Internet explorer high encryption pack. Internet explorer niliyonayo haionyeshi ni version ya ngapi, natumia 64-bit windows 7
Kwa original post,tembelea Hapa
Walenga walisema polepole ndio mwendo,siku zote mwenye subira basi hujiwa na heri.AfroIT tangu uzinduzi wake hadi leo hii tuna muda wa mwaka mmoja.Kwani mnamo Sep...
Wataalamu wa JF, kupitia msaada wenu nimeweza hatimaye kuchakachua Modem yangu ya Voda iweze pia kutumika na mitandao mingine. Asanteni.
Tatizo ni kuwa sina manual internet setting (ama Setup?) za...
Salaam wana jf? Naitaji kununua modem ya pc, sasa kwanza nahitaji jua je ni kampuni hipi ya simu hapa nchini wanauza modem nzuri?je ni zain,zantel,tigo,voda, au ttcl? Na namna gani mtu unaweza...