Tamko la TCRA kuhusu ujumbe wa simu unaowachafua baadhi ya wagombea wa Uraisi 2010
Mamlaka ya mawasiliano nchini Tanzania, TCRA, imekiri kupata taarifa za kuwepo kwa ujumbe unaosambazwa kupitia...
Wadau, nimeshaona minara yakurushia matangazo ya redio mara nyingi kila kituo kina minara yake (sijui kama kuna vituo vina'share' matumizi ya minara hiyo).nimewahi kusoma kuwa katika mfumo wa...
Modem Booster boosts your modem speed literally from your current speed to
nearer its maximum capability. It optimizes your modem settings so that there is quick and efficient data transmission...
Utakachosoma hapo chini ni kwa ajili ya kujifunza , inawezekana hii taarifa isiweze kukudaidia wewe lakini ikasaidia mwingine na inawezekana unapojaribu kuscan vitu fulani vikafutwa au ukapatwa...
Wakuu naombeni mnipe shule kuhusu hizi tv ambazo ni flat scren za 'startimes', zikiwa na ving'amuzi tayari.
Zina ubora gani ukufananisha za za aina nyingine kama za sony na sumsung.
Nimezikuta...
Mafunzo yoyote na miongozo yoyote iliyokwepo kwenye nyaraka hii ni kwa ajili ya masomo ( kujifunza ) tumia miongozo na mafunzo mengine ndani ya nyaraka kwa ajili ya kujifunza wewe na wenzako ...
Salaam wana jamiiforums.
naomba msaada kwenu kwa wale waliobobea katika elimu ya ya Computer.
nimekuwa nikisumbuliwa na On-screen key board inajitokeza kila ninapofungua Computer yangu (Lap top)...
WanaJF wenzangu naomba kuwatahadharisha tu kuhusiana na baadhi ya members wapya wenye majina ya ajabu ajabu (hata yale ya kawaida), wanaojiandikisha mara moja na kutuma posts zinazo offer software...
Wadau habari zenu
naomba kama kuna mtu amewahi kutumia mtandao wa torrentz.com
anisaidie procedures za kufuata ili niweze kudownload music au hata movies coz
nimejaribu mara kibao nimeshidwa.
Wadau nisaidieni kuna jamaa yangu anadai mobile yake imekufa imeshambuliwa na virus
naogopa mobile yangu isije shambuliwa maana toka jf waweke mobile edition muda mwingi natumia mobile niwapo nje...
Umewai kujua ni kwa nini baadhi ya keyboard alama kam "@" haiko sehemu uliyozoea. Au alama hiyo ya @ ukiibofya inatokea alama nyingine mfano "
Tatizo hili linatokana na KEYBOARD lay out...
Tafadharini sana,
Nilimtumia mtu pesa mwezi wa July (CRDB),nikamtaarifu akasema sawa ila inaonekana (labda hakwenda kuangalia benk).
Leo ananitafuta anasema SIKUWEKA hela!!!!!!!!!
tatizo langu ni...
hello there are several ways search engines can benefit from users. recently I heard that google is the leading search engine in the world and it raises millions of shillings daily. I am anxious...
Msaada jamani,
Natafuta soft copy ya kitabu kinachoitwa " The new Money Masters" author wake ni John Train
Mwenye kuweza kuniwekea link nitashukuru sana!
Habari zenu jamani.
hapa nyumbani ninatumia desktop imeandikwa IBM THINK CENTER
sasa tatizo ya hii desktop inaunguruma sana mpaka inafika mda hata watu waliolala usiku nawasumbua sasa sijui...
thESE PHONE corporation macho men zinatunyonya damu zetu,waste our time and money,In vodacom internet i did some research nikagundua when ukiweka bomba30 speed inakuwa chini bt ukiweka normal...
Skimming devices placed over card-reader slots capture your information.
The next time you pull up to an ATM, take a closer look at the machine. Does it look a little clunkier than usual?
Look...
Nimesikia kuwa Tanzania ilijiwekea mkakati ku kumaliza utaratibu wakumaliza kuhamsha urushaji wa matangazo kutoka analog kwenda digital ifikapo 2012 badala ya 2015.TBC ni mojawapo ya makampuni...