Wadau nina tatizo moja, kuna files(audio files) nilizichukua kutoka computer fulani, sasa kufungua flash naona zinaonekana kama shortcuts ambayo haitambuliki kwa hiyo files haziwezi kuwa accessed...
Thanks for having this good opportunity to be here , with you , this is my 1st time and hope we will share a lot with you, and particularly in this part of technoloty.
naomba minikaribishe.
below...
Ongera sana TTCL kwa kuleta EV-DO, Lakini cha kusikitisha ni gharama zenu maana nyinyi mlidai mmejiunga na mkonga,
TTCL mobile internet tariffs
You get charged based on data consumption (uploads...
Exam 70-290: Managing and Maintaining a Windows Server 2003 Environment
The Microsoft Certified Systems Administrator (MCSA) on Windows Server 2003 credential is intended for IT professionals who...
From Tecnlogical point of view tujadili
Mchango
mapungufu
udhaifu
faida /hasara
SWOT( Strenght, Weakness. Opportunity) ya ICT vilivyotumika
Kuna baadhi ya process kama kupiga kura na...
Test 000-087: IBM System x Technical Expert V6
Exam Number/Code: 000-087
Exam Name: IBM System x Technical Expert V6
Questions and Answers: 100Q&As
Updated: 27-10-2010
000-087 exam...
Wakuu....
Laptop yangu ilikuja na window vista, ila ilikuwa haitaki ku-install baadhi ya programs zangu muhimu za shule, kwa hiyo kuna mtaalamu mmoja akaniwekea window xp hivyo kufanya computer...
Helo wanaJF,
Naomba msaada wa jinsi ya kuondoa meseji za mtandao wa push kwenye simu ya Vodacom au hata zingine, maana zinaniletea kero. Utakuta wakati fulani unajaza vocha ya sh.500 kwa mfano...
Jamani wadau
kama mmefuatilia matangazo mengi ya uchaguzi katika TV za Tanzania hasa matokeo ya mikoani yamekuwa yakifanywa kwa njia ya simu badala ya kutuonesha picha za video.
hivi ni vifaa...
Waungwana,
Nimeletewa unlocked BlackBerry Tour 9630, ambayo ilikuwa inatumika kwenye mtandao wa US Sprint.
Ninaweza kupiga na kupokea, lakini lazima kila namba inayopigwa lazima ianze na +255...
Watu wengi wamekuwa wakitumia neno CPU wakimaanisha Kompyuta,ila leo tutaona tofauti iliyopo kati ya CPU na Kompyuta,na kwanini watu wanapenda kutumia neno CPU wakimaanisha Kompyuta.Pia...
Wapendwanatumia huduma ya ttcl bb lakini leo computer yangu option ya TTCL haigunguki ili niweke pathword nitumie huduma hiyohata nikinda kwenye network connetion sioni opstion ya ttlc bb nifanyeje?
Report ya Systems Visual Networking Index (VNI) Study iliyotoka juzi inaonyesha matumizi ya network zetu (network usage) is changing. Vipengele nilivyoona muhimu...
- The average broadband...
Wadau mm nimteja wa hii bank kwa muda sasa, wanahuduma moja ya banking online, kwakweli nilivyoiona ktk matangazo yao nilipenda sana, hadha ya kupanga foleni itakwisha.. tena haijalishi uko dunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.