Natowa kwanza heshima kwa ndugu zangu wote wahusika nawaombeni msaada wenu munisaidie au kama kuna mtu mwengine ana matatizo kama haya aweze pia kunsaidia
kawezaje kuyatatuwa. nimejaribu kuiweke...
Naomba msaada wanajamii wa kuondoa window alert, nina pc yangu niliistal Window XP sasa imeleta alert ambayo inasema '' YOU MAY BE A VICTIM OF SOFTWARE COUNTERFEITING, This copy of Windows did not...
IT'S A LONG TIME NOW NINAJARIBU KUKONECT NA INTERNET YA ZAIN KWENYE SIMU YANGU NASHIDWA IMEJARIU KUTUMA NENO internet KWENDA232 IMEKATAA YANI SIPATI REPLY YOYOTE HOW CAN I DO NIWEZE KUKONECT...
Tanzania: Internet Cafes Owners Face Technology Challenges
Abduel Elinaza
19 September 2010
Dar es Salaam INTERNET cafes owners are facing technology challenges which...
Mathematics is very Important subject in the world of science.. It plays a great role all over the field of science.. A good example for this is the use of mathematics in computers.. The...
Nways, sijui kama hii thread ipo mahali pake..
Nways, ishu ni hiviii, hawa jamaa wa scribd.com baada ya kuwa tumechangia documents zetu kwa muda sasa na kushare na wengine, sasa hivi naona...
MacBook Pro ya May 2010 inauzwa. Bei ni USD 1,800 (ikiwa dukani ni USD 2,200). Specs zake ni kama ifuatavyo:-
Monitor: 15-inch
Processor: Intel Core i7 2.66GHz
Memory: 4GB
Hard drive ...
by Charlotte Raab
Sat Oct 9, 2010
NEW YORK (AFP) – Microsoft unveils a new mobile phone operating system on Monday in what is being seen as a potentially make-or-break effort by the US...
Wakubwa
Mtoto wangu amechafua Secreen ya laptop yangu kwa kutumia Marck pen ya rangi ya kijani
Nimefuta kwa kitambaa lakini naona hayatoki
nisafishe na nini? Nsaidie
DELL LATITUDE D610,
WINDOW XP SP3,
MICROSOFT OFFICE 2010
INTEL CENTRINO,
PROCESSOR 1.6GHZ,
RAM 1GB,HARD DISC 40GB,DVDRW
Bei laki nne na themanini elfu, ukichukua nyingi utapunguziwa
sim -0768178989
The world's biggest mobile phone maker, Nokia, has filed a lawsuit against Apple claiming the iPad 3G and iPhone infringe five of its patents.
Nokia claims the infringements involve technology...
By the time they are two, 81 percent of kids have a digital footprint
Advertisement | ad info
Dreamstime
By Matt Liebowitz
TechNewsDaily
updated 10/7/2010 2:32:47 PM ET...
wadau nisaidieni kwa hili, ofisi yangu ilikuwa na vumbi jingi, so nilimpisha mtu wa usafi ili asafishe, but baada ya kurudi nikakuta vumbii lote limejaa kwenye lap top yangu.nikaamua kufuta kwa...
Three scientists have shared this year's Nobel Prize in Chemistry for developing new ways of linking carbon atoms together.
The Nobel was awarded to Professors Richard Heck, Ei-ichi Negishi and...
Wanajamvi nilikuwa napitia gazeti la CCM na nimeshengazwa na kukutana na kichwa cha habari kwamba tovuti yao imechakachuliwa na wahuni na waliofanikiwa kuendesha KURA YA MAONI ya URAIS wa JMT...
Kwa wale wapenzi wa Mitandao Kama Facebook na Hi5 kwa siku za karibuni
watakuwa wameona mabadiliko Fulani kwenye hatua za kuingia kwenye
account zao haswa wakiwa maeneo mapya .
Mfano mimi...
Habari zenu wana jamiiforums.
kwa wale wakaazi wa Dar es salaam Tz, naomba msaada, ni chuo gani hapa Dar kinachofundisha utengenezaji wa picha muondoko za cartoon kwa kutumia Computer?
palipo na...