:lol:Original Author: Charlie Palmer
Edited and adapted with permission by Charles M. Kozierok
Welcome to the online version of How to Build Your Own PC, adapted from the print book by...
Inasemekana yawezekana Israel imetengeneza kombora kwa kutumia computer/ internet 'cyber-missile' kwa mfano wa computer virus aitwaye "Stuxnet" na kulielekeza Iran ambako limekuwa likiharibu...
The creators of the popular Blackberry phone, Research In Motion (RIM) unveiled the new BlackBerry PlayBook tablet which is said to be the first serious competitor for the iPad and tons of other...
Wakuu naomba kuelimishawa kama nikiwa na blackberry (unlocked) ya GSM/GPRS 1900/850/900/1800mhz au 3G UMTS 2100/1900/850 mhz nitaweza kuitumia ktk mitandao ya Tigo, Voda na Zain Dar.
Msaada tutani tafadhali,kwa muda nimekuwa nikitumia Zantel kwenye Laptop yangu kwa ajili ya huduma ya intanet na nimekuwa nikweka viwango mbalimbali kama vya siku Tsh 6000 na kwa mwezi Tsh 10,000...
Suala la Usajili wa Simu Afrika Mashariki
Mkurugenzi wa tume ya mawasiliano Tanzania kasema wako katika mchakato na tume nyingine za mawasiliano katika nchi za afrika mashariki ili...
nenda kwenye start,click run na andika regedit
baada ya hapo ingia kwenye HKEY_LOCAL_MACHINE\SYSTEM\CurrentControlSet\Servic es\USBSTOR
kwenye usbstor badilisha value data.badala ya 3 andika...
I just wana ask a quesition about the zain unlimited internet service.
I heard about the zain unlimited service in TV adverts in advertises you pay 70000ths for a month unlimited of usage
and...
There is a big power problem in the country, the Government recently announced that the national electricity supplier (TANESCO) is not able to meet the demand of power in the country. Do you think...
habari, nina uncle wangu ameseti hp colorlaserjet printer kwenye stationary yake iwe inaprint black ink documents only. sasa cha kushangaza black toner ikiisha na yale mengine ya rangi yanaisha...
Hamjambo wana-JF?
Tafadhali naomba msaada wa kunijulisha wapi pa kupata AT89S51 microcontroller au jamii ya 8051 microcontroller ndani ya Tanzania.
alpha1
Hello wadau
Nimepata PC tower ambayo nafikiri jamaa alikuwa anaitumia kwa Games maana weka graphic card ku enhance pictures.Tatizo ni kuwa nimejaribu kuiwasha hakuna image sent to the...
Habari zenu?
Napenda kutambulisha kwenu uanzishwaji wa jumuiya inayoitwa BONGO SCIENCE, au kwa kifupi BS..
Katika kipindi hiki ambapo nchi nyingi duniani zimekuwa zikifanikiwa kwa kutumia...
HII ni njia ya kutest kama anti virus yako ya ukweli ama la
ukiona imeona virus ujue iko mzuka,ukiona kimya ujue kimeo hiyoooo
tengeneza new text document. halafu copy maneno haya...
Mimi nimemaliza chuo mwaka 2007 Advanced diploma in IT.Katika kipindi chote mpaka sasa sijabahatika kupata kazi ya proffessional yangu.nimejikuta nafanya part time job.Imefikia kipindi nimeanza...
:lol:
Don't Use:
Any part of your name - first, last, or middle
Your initials
Your social security number
Names of friends, family, or pets
Birthdays
Phone numbers or addresses
Any other...
I like to experiment whenever I get spare time. It should explain my avatar on the left. ;-) So one dull morning, about a month ago, I took a backpack and in it was one Toshiba fully loaded with...
Hatimaye Microsoft wametoa toleo jipya la Internet Explorer, toleo hili linajumuisha mwendo kasi wa vtendea kazi vya kompyuta, msaada wa viwango vya tovuti na muonekano mpya ambao umetilia mkazo...
Hi wakuu,
Tafadhali ninaomba mdau mwenye software ambayo inaitwa CHIEF ARCHTECT ili niweze itumia. Actually aniweza kunipa copy ambayo iko registered. Malipo ni mazungumzo.
aliyenayo awasiliane...
Wana JF wote,
Mara chache sana tumekuwa tukishuhudia tukio la kupatwa kwa jua (Solar eclipse) na vile vile kupatwa kwa mwezi (Lunnar eclipse).
Je unafahamu kuwa kuna kupatwa kwa Satellite...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.