Tangu kutua kwa mkonga wa mawasiliano kwa baadhi ya nchi za Afrika Matumizi ya Teknohama yameongezeka kwa kasi haswa baada ya baadhi ya kampuni kushusha bei na pia imechochea kuanzishwa kampuni...
Kipindi Programu bandia , Usajili wa Namba za simu
Karibuni tena katika kusikiliza Kipindi cha Ulimwengu wa Teknohama Leo hii tuliongelea Programu/Software Bandia pamoja na usajili wa...
CONSEQUENCES OF FUEL ADULTERATION
CONSEQUENCES OF FUEL ADULTERATION
Adulteration of transport fuel, which is currently a very flourishing business in our country, can lead to economic losses...
Nimesikia TV broadcast bongo inakuwa DIGITAL,je lini inaanza rasmi?Kuna mpango wowote wa kuweka HIGH DEFINITION CHANNELS?Sasa hivi wenzetu wanaingia kwenye 3D TV BROADCAST mpango huo upo kwenye TV...
Nitawezaje kuflash simu yangu aina ya Samsung SGH - D780, maana nna CD yake ndani kuna folder Flash asset!
Pia nitatumia program gani kufungua files za type hii: X32
The moving rocks, also known as sliding rocks or sailing stones, are a geological phenomenon found in Racetrack Playa, a seasonally dry lake (a playa) located in the Panamint Mountains in Death...
Hello Christa!
No unread emails in your Inbox Inbox (0)
Hiyo hapo juu ni snapshot ya page yangu ya juu kabisa ninapo-sign in Yahoo!
Cha kushangaza mimi siitwi Christa! Mimi ni kidume kwanza...
'The Shallows': Is the Net Fostering Stupidity?
Nicholas Carr's new book faults Google for being "in the business of distraction" and Twitter for being neurological heroin
The Shallows: What...
Speccy will give you detailed statistics on every piece of hardware in your computer. Including CPU, Motherboard, RAM, Graphics Cards, Hard Disks, Optical Drives, Audio support. Additionally...
Asalaam wakuu
Jamani niendeleze kipaji changu cha Software Development i mean I want to serious engage in development software, I have a good knowledge of Software Development ila kitu...
After unveiling some new stuffs about Azure and other cloud services during his keynote,Bob Muglia is having a live interview with carter @channel 9.You can ask him live questions through twitter...
The Internet is robust. It's not dependent upon a single machine or cable. It's a network made up of other computer networks. It spans the globe. Connections cross over continents, under oceans...
Wajameni, virus vinakaribia kunimaliza. Vya computer. Nimetumia ARV zote naona CD4 haziongezeki, yaani sijaweza maliza tatizo. Naomba mwenye antivirus anitumie kama attached file niweze ku-instal...
Suppose you were to pull up to a gas station in a distracted state of mind. For example, you're driving your three children plus three of their friends to the zoo and they're all screaming for ice...
In a hand-to-hand comparison with the new iPhone 4 and the iPhone 3Gs, one will instantly notice how much thinner Apple made the new product. The iPhone 4 is 24 percent thinner than the 3Gs and...
How to get copy of xray pictures
Tafadhali nisaidieni jinsi ya kutoa nakala ya picha za X ray au hata kuziscan ili niweze kuzituma
kwa Dr. aliye mbali ili aweze kutoa tathmini yake.
Kuna taarifa kuwa internet Bongo imeenda down kwa muda wa zaidi ya 1hr mpaka sasa, kuna ambao mnatumia TTCL au Zain au Zantel au Voda au hata Raha, CATS etc mnakumbana na tatizo hilo?
Just wanna...
Habar za mishughuliko wakuu,
Nataka nijue wapi nawezakwenda nika-load Map ya Tanzania kwenye Gps ya mobile phone yangu....
Phone type: Toshiba TG01
Asanten kwa msaada
Ndugu wana JF, niliagiza gari kutoka Japan kama kawaida wabongo wakakwapua control box (ECU) nikafanikiwa kupata nyingine lakini Last month gari yangu ilisumbua so nikaamua kuipeleka gereji baada...