Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

In research echoing the Wizard of Oz, scientists have found the key to overcoming fear. The discovery means it might one day be possible to give people back their courage - just as Oz helped...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za hapa ndani wakuu, naombeni msaada wenu wa kitaalam, mimi ni mwanafunzi niko hapa dar es salaam nahitaji kujua sehemu wanauza 3G modem kwa bei nzuri, kama kuna mtu anafahamu aweza kuni PM...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu zangu Hivi ni wangapi hapa tunajuana mitaani , mashuleni na sehemu zingine za makazi sisi kama wana teknohama ni wangapi wenu hapa tunasaidiana na kushauriana masuala mbalimbali zaidi ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kiswahili kwenye kompyuta!!! Plans are already at an advanced stage for the Swahili language to be incorporated in MS Applications. Let’s take a sneak peek at developments so far: It’s the high...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kama wewe ni mtembeleaji wa Tovuti kama Facebook pamoja na Hi5 utakuwa umeona baadhi ya vijimambo vinavyoendelea katika tovuti hivyo, mfano unapojiunga na tovuti hizo inakuwa na sehemu maalumu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tune in the news Japanese scientists...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Check-in Time : 22/04/2010 09:19 Updated: 04/22/2010 09:21 IT security company McAfee anti - virus program to crash a computer error...
0 Reactions
0 Replies
959 Views
Designing an Authentication System: a Dialogue in Four Scenes Designing an Authentication System: a Dialogue in Four Scenes
0 Reactions
0 Replies
980 Views
Wana jf nisaidieni niunganishe tv yangu,dish nimefunga nimeconnect kwa receiver sasa inanisumbua jinsi ya kusearch na kuinstall channels.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Jamani wadau wa JF nimepata visitor message kwa profile yangu huyo mtu anadai anaitwa Monica akaniambia amefurahi sana kuiona profile yangu na akasema tuwasiliane zaidi anataka tuwe marafiki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau, Kama mdau wa teknolojia, nahitaji kufahamu ni taasisi /kampunigani hapa bongo inatoa elimu ya Oracle Certification(ikiwemo na kusimamia mitihani). Nimejaribu kutembelea baadhi ya zile...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kipindi – Matumizi Salama ya Teknohama na Mitandao Jamii Karibu Usikilize kipindi cha Ulimwengu wa Teknohama Kama kilivyorekodiwa leo kuanzia saa 3 Asubuhi Mpaka saa 4 Jijini Dar es salaam ...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tokea juzi najaribu kufungua document zangu zilizopo kwenye Micro Softword 2003 hazifunguki, power point inafunguka kama kawaida, sasa sijui ni virus au nini naomba msaada wa kitaalamu.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Laptop yangu inatumia kaspersky ant virus na haina matatizo yoyote, tatizo nikinunua flash mpya ntaweka data zangu, baada ya muda nikitaka kuweka zingine inaniambia hamna space ya kutosha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi JF TF gurus, I am having a website redirect when I access some sites my browsers (IE 8.0, safari ect) tend to redirect me to this anoying sites called Network Solutions with the following...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakati ambapo Uchaguzi mkuu unakaribia Wanateknohama wanashauku ya kujua mambo mbalimbali kwa njia ya mtandao kuanzia kupashana habari , majadiliano motomoto na masuala mengine mengi sana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wadau?? Naomba msaada wenu tafadhali, kuna file la PDF (Portable Document File) natakiwa nijaze na kutuma mahali, instructions zinasema ''fill the file from your computer''...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wenye interest na haya mambo ya jinsi Ubongo unavyofanya kazi, nafikiri hii ni kazi nzuri ya kuangalia/tazama (Tathmini ya uzuri ni yangu -hopefully am not deceived Lol!). Michael Shermer talks...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The National Information Communication and Technology Broadband backbone was switched on yesterday in 16 regions after the completion of the first phase of its construction. The move brings...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakubwa,narudia tena kuomba mtu mwenye kujua namna ninavyoweza kuingiza picha za video kwenye laptop ambayo haina firewire pin. Nimeanagaika sana kwani computer yangu ni latest lakini aina...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom