Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Wenzangu Wa JF; Habari za jioni!. Napenda kuwa taarifu kuwa kuna web site iitwayo Kijijibay.com ambayo malengo yake ni kuwezesha Watanzania kuuza and Kununu bidha kwa watu ambo wanataka kuuza...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kila nikifungua file la pdf nakutana na ujumbe kama huu wa kwenye attachment. Naomba mnisaidie kutatua tatizo. Thx.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakubwa naomba haraka mwenye nayo soft ware Itune version 9 na safari version 5 nataka kuweka vitu kwenye apple ipod kwenye computer hizi za ofisini zimezuiliwa kudownload toka kwenye net mwenye...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakubwa, Mathalan Ubuntu. Nime instal Gnome Phone Manager lakini sioni sehemu ninayoweza kwenda kui execute. Synaptic Package Manager inaonyesha ipo. Wapi, haisemi. Itakuwaje? Nikitaka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hello ninatumia iPhone 3Gs nliyokuwa nayo nje! hapa anyway haina tena network iliokuwepo ya At &T , so haiwezi kubali kuingiza programme ingine eg social networks, lazma ipitie iTunes kwanza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
ALBUQUERQUE, NEW MEXICO -- Make way for the ultimate high-rise project: the space elevator. Long viewed as science fiction "imagineering", researchers are gathering momentum in their pursuit to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nawezaje kutumia iPhone kwa social networks bila kulazimisha kupitia iTunes kwani account yangu ilishafungwa since ntoke kwa watu (ilikuwa AT & T),only social networks zinagoma kufungua/kudownload...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu naomba jinsi ya ku update apple ipod 32GB nimeshindwa ku update sikuweza kusoma Ki brazil ila ni mpya Original Internet napata Asanteni wakuuu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
1. How can animals find their way back home? 2. What if animals could plan, reflect and cheat? 3. Do animals lie or feel guilty? 4. Are there other species in mamals/animals practising same...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu wadau JF, Hivi karibuni jirani yetu Uganda alipitisha sheria ya kuzuia uingizwaji wa vifaa vya electronic vilivyotumika kufuatia ongezeko la uchafu unaotokana na vifaa hivi nchini. Pia...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Italian Scientists Discover 'Unicorn' Click here to watch video
0 Reactions
0 Replies
2K Views
How to Open Ports or Allow Programs to Run with SP2's Firewall? 1. Click on Start / Run 2. Enter in firewall.cpl 3. Click on...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
JIFUNZE ZAIDI KUHUSU LESENI/PROGRAMU ZA BURE Inasemekana kwamba moja ya sababu ya Uhalifu wa Leseni za Programu haswa kwa nchi za dunia ya tatu ni Bei kubwa za programu kadhaa ambazo watu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Computer yangu ina DVD writer aina ya "NU DVDRW DDW-082". Inaweza kusoma Audio CDs lakini haisomi data CDROMs kabisa! Mwanzoni ilikuwa inafanya kazi vizuri, ghafla imeanza tatizo hilo! Nimejaribu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kunahitajika SUNY System Version 4.3 Accounting Software kwa ajili ya users 4, pia tunataka atakayeweza atatakiwa kutoa mafunzo ya namna ya kuitumia. Kwa sasa ofisi imekuwa ikitumia SUNY System...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nina wiki kadhaa sasa nashindwa ku-access JF kupitia . www.jamiiforums.com na badala yake lazima nipitie www. Jambotanzania.net. Je, kunani? Wadau lazima wapitie Jambotanzania.net? (which is...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Please check with your service provider if you have been properly registered by either hitting *106# or dialling 106 or sending SMS to 106. Please pass this message as widelly as possible
0 Reactions
37 Replies
10K Views
Top 10 MP3 players When choosing a new MP3 player, most people have only one question in mind: what kind of iPod shall I get? From the shuffle to the nano to the beautiful...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
3 things that Microsoft could Never Explain....! !! MAGIC #1 An Indian found that nobody can create a FOLDER anywhere on the Computer which can be named as "CON". This is something...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Utafiti wangu unaonyesha kuwa options ni mbili so far. Naona Voda wana Bomba30 for 30,000/= ambayo ni unlimited use for 30 days, lakini speed wanaminya. Zantel nao wana 2GB for 10,000/= kama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom