Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Naomba msaada wana jamii. Ms Excel file zangu zenye rekodi za biashara kwa miaka 3 iliyopita zime "corrupt" na haziwezi kufunguka. Nimeelezwa nikipata software ya kurepair au recovery basi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wavuti hii ya Serikali imevamiwa na malware inayoweza kuharibu kompyuta yako! See the attachment & Beware!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Grrrr jamani wapi JF Store,au ndo mkono mtupu haulambwi,tuambieni wenye jukwaa kunani?kama kuna mabadiliko ni vizuri tuambieni wakuru
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakulu jana nimesoma kwenye gazeti kuwa Zantel wameanzisha huduma ya internate kwa wale wenye BB ila kama vile ni makusudi au kupitiwa hawajatoa kiasi unachotakiwa kukilipia ili upate hiyo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wakuu naomba mnisaidie kupata hiyo software.ninaishi kijijini nimeokota hii simu sasa ninahitaji kuinstall hii software ili niweze kuitumia pia na kompyuter! AHSANTE
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wakubwa naombeni msaada.Tangu juzi kila nikifungua document za excel napata ujumbe wa "window installer".Nimejaribu kufuatilia hichi inachotaka ku install lakini mwishi naambiwa ime fail.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Word 2003 and 2007 are the most common versions on the market Microsoft has lost an appeal against a court judgement that told it to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani kuna coding competition organized by google here: http://code.google.com/codejam/africa/ Current Round is only a qualification round, so it not too late. Round hii inaisha saa 9 usiku...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Waungwana naomba mnisaidie ni jinsi gani naweza ku-upload video clip fupi tu hapa JF maana nimejaribu kuweka kama attachment kawaida imegoma.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naombeni msaada jamani, Nimejaribu hata kwa iPhone 3G still didn't work, always says searching, but never finds any device. Something wrong with iPhone 'tooth' or?
0 Reactions
11 Replies
5K Views
YouTube- Moving Windmills: The William Kamkwamba story Nafikiri TANESCO wanahitaji huyu kijana awafundishe kazi na kuachana na Richmond. lol.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu natafuta PDF Editor software chapchap, nimejaribu kuzungukazunguka, naonana na nitroPDF pekee, kama kuna mwenye nayo nyingine naomba msaada, au hata kama kuna mahali humuhumu ndani ipo...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
colloge of business education dar es salaam campus wamefunga wireless internet sasa hivi wanamalizia matengenezo madogo madogo kukamilisha hadi sasa teyari substation zimefugwa. Lakini sijui...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu kwa wale wajuzi wa mambo Haya naomba msaada wenu.Nimekuwa nikitumia HUAWEI EC 189 USB Modem nje ya Tanzania.Nataka nirudi home na nina mpango wa kuendelea kuitumia hiyo Modem nikiwa Home...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani Blackberry Storm 9500 yangu kila nikicharge haingizi charge yoyote inabaki kuwaka kwenye LED red tu,mwanzoni nilifikiri huenda betri imeisha ikabidi ninunue mpya na kuweka nikajaribu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
MADA HII IPO HAPA KUNA NINI NBC NIMEAMUA NIILETE HAPA KIDOGO ILI TUWEZE KUSHIRIKI PAMOJA Ndugu zangu nimeona mlichochangia hapo napenda kusema kwamba ni kweli kuna msako wa kutafuta...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
CreativeTechs wanafanya kozi za bure Live kupitia mtandao wana kozi za Photoshop, Flash, Android, iPhone na zengine nyingi full list: http://creativetechs.com/training/ Kuangalia kozi nenda...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
photos A typical...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Malware could tap into phone's microphone, GPS and even your battery iStockPhoto A rootkit is different — and more difficult to detect — than other malicious software like viruses. Malicious...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
300kbps Zantel balaa jamani speed ya leo ni hatari natumia modem moja nimeunga pc Sita lkn downlink ni 300kbps sio mchezo
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom