Niki_boot napata hili tangazo
"Setup did not find any hard disk drives installed in your computer. Make sure any hard disk drives are powered on and properly connected to your computer, and...
Google Kutoa Simu Zinazotafsiri Lugha Tofauti Tofauti Simu iliyotolewa na Google awali inayojulikana kwa jina la Nexus One Monday, February 15, 2010 3:16 AM Kampuni ya Google imesema kwamba...
Hello members! Tafadhali naomba kama kuna mtu ana uzoefu na OS ya UBUNTU. Je ni compatible na other MS applications? Nimesikia hii OS haiingizi VIRUS. Naomba elimu kwenye hili plz
Tukiweza ku-model kila kitu duniani kama fractal na huu uvumbuzi wa fratals quantum phenomenon kwa kweli hii itarahisisha mambo mengi ya sayansi. Je hii inawezekana? source
¬K
naomba kuuliza wadau wa jf, nimesikia kuhusu 3-d movies hivi hizi zinakuwaje yaani zinaonesha vipi na tv zake zipo vipi? nimeona picha za jamaa kwenye theatres wakiwa wamevaa miwani fulani nayo...
Sahau kuhusu Bei ya programu hiyo mara nyingi bei inaweza kuonyesha kitu Fulani kuhusu programu husika haswa uwezo wake wa kufanya kazi husika kwa ufanisi zaidi nikimaanisha programu hiyo inaweza...
Kwa siku ya pili leo nimekuwa nikipata tatizo ya kuingia kwenye mtandao kwa kutumia Mozilla Firefox. Ninaweza kupata homepage ili nikijabu kutoka hapo kwenda kwenye mitandao mingine inashindikana...
Rais wa Marekani Barack Obama, ameunga mkono kutengenezwa kwa vinu vya kuzalisha kawi ya nuklia nchini humo baada ya kipindi cha miongo mitatu.
Rais Obama amesema Marekani inahitaji kuzalisha...
Naulizwa swali,
Kuna mtu yeyote ambae ame-OC PC yake?, kwenye Windows OS PC nilijaribu ku-OC mara ya kwanza ikanipa shida, sometimes ina fail ku-boot na mwishoe nikaunguza CPU,
Sasa nilikuwa...
NI mara nyingi tumekuwa tukidownload au kuupload mafaili toka kwenye website kama Rapidshare au Hotfile,ila tatizo ni kuwa inatakiwa uwe na Premium account,Kuna hili suluhisho tena kwa freee,kuna...
Habari za asubuhi wandugu,
Nafanya kazi kama Computer System Analyst,
Just few minutes nimesoma memo, My boss want me to trace kama kuna mtu ame copy document from his flash Disk. Amenipatia...
"An error has occurred while establishing a connection to the server. When connecting to SQL Server 2005, this failure may be caused by the fact that under the default settings SQL Server does not...
LimeWire PRO 5.4.7 Final
FULL Retail Version - Just install and use!
http://rapidshare.com/files/351318137/LimeWireWin.exe
WinRAR 3.92 Final (x86 & x64)
Incl. Keygen-FFF -...
Two decades ago,IBM,APPLE,MICROSOFT were at the center of the PC world,All those mega-companies believed in their models and we all know how it turned out.
Apple believed in the beautiful,closed...
Habari wana JF mimi nimkuja hapa leo kuwaomba swali kwani nawajua wa kina SHY wanaweza kunisave nilisomaga wanavyo save watu. Laptop yangu ni Toshiba pro. sasa ilikuwa na window XP nikasahau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.