Hey guys nambeni msaada. nataka kujua kwa undani kuhusu live video streaming. Lengo ni kujua technology zipi zinahitajika interms of hardware and software. Kama mna link za tutorials ningefurahiu...
Kumekuwa na Malalamiko kadhaa ya watu yanayoelekezwa kwa google kwa kipindi kirefu sasa kutokana na baadhi ya huduma zake ambazo nyingi ni bure kabisa lakini hazinufaishi wale waloandaa kazi hizo...
Kampuni ya Kaspersky imekuwa ni miongoni mwa makampuni makubwa ya Kutengeneza programu za masuala ya Ulinzi na usalama wa computer kama Antivirus na Internet Security na ni miongozi mwa kampuni...
Habari wa JF
NaombenI Msaada wenu maana nimejaribu kutafuta SATA driver for HP Pavilion Dv2000 laptop.Maana naitaji kufanya Istallation ya XP.
Naomben msaada wenu
Rgds
Ndekia
"Mighty" is the operative word, as these same search engines (usually the one that starts with a "G" and ends with an "oogle") can also curse us all. If you think about it, any schmuck can find...
Hi,
I have been working on a small tool called kiGM for the ANLoc initiative and as I wanted to know how it will behave in different scenarios. There is no better way to do that than to use...
Friends
Richard Kazimoto, Enahoro Ofagbe (African Portal for Information Technology
http://www.apfit.org ) and myself decided to start Joomla! Users Group
Tanzania as we could not find...
Office Outlook 2007 Inside Out
Book Description:
Learn everything you need to know for working with Microsoft Office Outlook 2007from the inside out! This book packs hundreds of time-saving...
E books for u
Outlook 2007 Programming: Jumpstart for Power Users and Administrators
Book Infos:
Published in 2007
Author: Sue Mosher
ISBN: 1555583466
Book Description:
Microsoft...
---------Hii mada ni ndefu ila ni muhimu mno kwani imejibu maswali mengi kuhusu GNS3,nimeandika kutokana na uzoefu wangu wa zaidi ya mwaka mmoja,natumaini watanzania wenzangu...
Wapendwa, nimekuwa niki-log in JF kwa kutumia simu yangu Nokia 6233 lakini kwa wiki 3 sasa siwezi kulog in. Ile link ya kulog in hainipi ruhusa ya kufanya hivyo. Au kuna kitu natakiwa kufanya...
Tafauti na version 8 mpaka 8.5 ambayo wakati unapotaka kuingiza kwenye computer ni lazima ufunge vitu unavyofanya kwenye computer yako kama unaangalia tovuti Fulani au kama unatumia programu ya...
Ni mara nyingi wengi wetu tumekuwa tunapeleka papers kwenye journals au conferences,hawa jamaa huwa na masharti yao mengi haswaa kwenye muundo wa hizo papers,nina maanisha ni jinsi gani inatakiwa...
Habari za wanajamvi
samahanini mimi kila nikionekana ktk jamvi hili siku zote ni msaada.samahanini kwa hilo.
Naomba mwenye packet tracer inayosapati mpls ama simulator yoyote anisaidie...
NI watu wengi wamekuwa na maswali kibao kuhusu IPV6 ambayo moto wake bado haujapamba ingawa hali inaonesha kuwa siku za usoni itakuwa ni mojawapo ya dili,hebu tuangalie mambo mabalimbali ambayo...
Wakuu naomba msaada/ushauri
Nimekuwa nikitumiwa emails na mtu mara kwa mara zikiwa na maneno ya kashfa na vitisho. Address yake xyz@yahoo.com
Ninawezaje ku-trace au kupata msaada wa ku-trace...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.