Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

haya stats ziko bayana kwenye hiyo attachment, Tanzania na kelele zetu tunapigwa bao na jirani zetu kasoro Burundi. hakuna growth kabisa, hatari sana.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hey guys nambeni msaada. nataka kujua kwa undani kuhusu live video streaming. Lengo ni kujua technology zipi zinahitajika interms of hardware and software. Kama mna link za tutorials ningefurahiu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kumekuwa na Malalamiko kadhaa ya watu yanayoelekezwa kwa google kwa kipindi kirefu sasa kutokana na baadhi ya huduma zake ambazo nyingi ni bure kabisa lakini hazinufaishi wale waloandaa kazi hizo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kampuni ya Kaspersky imekuwa ni miongoni mwa makampuni makubwa ya Kutengeneza programu za masuala ya Ulinzi na usalama wa computer kama Antivirus na Internet Security na ni miongozi mwa kampuni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
JIHADHARI NA ROGUE PROGRAMMS!!!!! Zifuatazo hapo chini ni rogue programms. Kila mmoja wetu ajihadhari...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wa JF NaombenI Msaada wenu maana nimejaribu kutafuta SATA driver for HP Pavilion Dv2000 laptop.Maana naitaji kufanya Istallation ya XP. Naomben msaada wenu Rgds Ndekia
0 Reactions
3 Replies
3K Views
"Mighty" is the operative word, as these same search engines (usually the one that starts with a "G" and ends with an "oogle") can also curse us all. If you think about it, any schmuck can find...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi, I have been working on a small tool called kiGM for the ANLoc initiative and as I wanted to know how it will behave in different scenarios. There is no better way to do that than to use...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Friends Richard Kazimoto, Enahoro Ofagbe (African Portal for Information Technology http://www.apfit.org ) and myself decided to start Joomla! Users Group Tanzania as we could not find...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Office Outlook 2007 Inside Out Book Description: Learn everything you need to know for working with Microsoft Office Outlook 2007from the inside out! This book packs hundreds of time-saving...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Is there really a global warming consensus? http://www.youtube.com/watch?v=BZcp_wcDXec
0 Reactions
0 Replies
1K Views
E3 2009: Project Natal Xbox 360 Announcement http://www.youtube.com/watch?v=p2qlHoxPioM
0 Reactions
0 Replies
1K Views
E books for u Outlook 2007 Programming: Jumpstart for Power Users and Administrators Book Infos: Published in 2007 Author: Sue Mosher ISBN: 1555583466 Book Description: Microsoft...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
---------Hii mada ni ndefu ila ni muhimu mno kwani imejibu maswali mengi kuhusu GNS3,nimeandika kutokana na uzoefu wangu wa zaidi ya mwaka mmoja,natumaini watanzania wenzangu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wapendwa, nimekuwa niki-log in JF kwa kutumia simu yangu Nokia 6233 lakini kwa wiki 3 sasa siwezi kulog in. Ile link ya kulog in hainipi ruhusa ya kufanya hivyo. Au kuna kitu natakiwa kufanya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tafauti na version 8 mpaka 8.5 ambayo wakati unapotaka kuingiza kwenye computer ni lazima ufunge vitu unavyofanya kwenye computer yako kama unaangalia tovuti Fulani au kama unatumia programu ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni mara nyingi wengi wetu tumekuwa tunapeleka papers kwenye journals au conferences,hawa jamaa huwa na masharti yao mengi haswaa kwenye muundo wa hizo papers,nina maanisha ni jinsi gani inatakiwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari za wanajamvi samahanini mimi kila nikionekana ktk jamvi hili siku zote ni msaada.samahanini kwa hilo. Naomba mwenye packet tracer inayosapati mpls ama simulator yoyote anisaidie...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
NI watu wengi wamekuwa na maswali kibao kuhusu IPV6 ambayo moto wake bado haujapamba ingawa hali inaonesha kuwa siku za usoni itakuwa ni mojawapo ya dili,hebu tuangalie mambo mabalimbali ambayo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada/ushauri Nimekuwa nikitumiwa emails na mtu mara kwa mara zikiwa na maneno ya kashfa na vitisho. Address yake xyz@yahoo.com Ninawezaje ku-trace au kupata msaada wa ku-trace...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…