Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Wadau, naomba mnisaidie kugundua sifa za Blackberry fake na orijino...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Komputer yako lazima iwekewe updates za kisasa , iwekewe antivirus pamoja na updates zake bila kusahau firewall , windows xp service park 2 inakuja na service park yake ingawa haikuhakikishii...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani nimeshikika naitaji kuelewa hivi ukitumia mtandao wa Zantel na asycuda inakubali maana nimejaribu naona mauza uza kama kuna mtu mwenye data zozote naomba anisaidie maana nimeshazunguka sana...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wengi wanatumia computer zao kwa kazi zao za kiofisi na mambo mengine madogo madogo , lakini wengi hawajui matumizi sahihi ya computer zao , ili zisiweze kupata mazara au asiweze kuthuriwa na vitu...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
TAFADHALINI WADAU KUNA MIJIZI YA MUDA WA MAONGEZI KUWENI MAKINI NA SMS AU CALLS UTAKAZOPOKEA BILA KUMJUA UNAEWASILIANA NAE NA KUFUATA MAELEKEZO YAKE. Mfano unaweza sikia wakisema wao ni mafundi...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wapenzi wa files sharing hili ni pigo kwetu.......jana nilipata habari kuwa BitTorrent tracker pendwa imepigwa chini na kweli mpaka sasa hivi haipatikani hewani.....kuna order toka kwa mafisadi wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hii nadhani ni habari njema kwa watanzania... Kampuni ya kwanza (binafsi) kuunganishwa na huu mkonga. Jamii Media tumealikwa na tumehudhuria event hii na kujionea... Picha tumeambatanisha...
0 Reactions
110 Replies
17K Views
Dear Mom, I love you, but please print out this brief tutorial. It will show you how you could solve any doubts you may have about any of those "little picture buttons" and menus in the "TV."...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Spyware ni programu yenye muundo wa malware inayoweza kuichukuwa computer yako a kutoa siri za computer yako kwa watu wengine wenye kutaka taarifa hizo . Spyware huwa inatawanywa kupitia baadhi ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
The arrival of broadband in Tanzania presents dazzling business possibilities. By Eamon Kircher-Allen — Special to GlobalPost Published: August 17, 2009 07:36 ET Updated: August 18, 2009 11:18...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ninatatizo kwenye Flash Disk la folders kutoonekana. Mwenye kujua ni namna gani naweza kufanya ili nizione anisaidie maelezo tafadhal
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ujuzi wa miaka 38 wa kutengeneza pikipiki wamfanya aunde helikopta Imeandikwa...
0 Reactions
2 Replies
9K Views
Nina External TV tuner card (pixelview model no.: pv-nt1004+) na nimepoteza cd ya drivers nimejaribu kupekua pekua kwenye mitandao nimekwama hivyo naomba msaana wenu wana JF....
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Business | August 21, 2009Tanzania Telecom linked to fibre optic Dar es Salaam Tanzania Telecommunications Company Limited (TTCL) has announced that it’s fully connected to the International...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
wadau kuna software hii ya mobile phone inaitwa wave secure nimeona nisifaidi pekeyangu, hii kitu inaweza ikafanikisha kupatikana kwa simu yako kwa muda mfupi.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Heshima kwenu wanaJF Nina Laptop yangu Toshiba Satellite P15-S409 winXP pro sp 2 3.00GHZ RAM 512. Mwaka uliyopita nilikuwa naitumia baada ya kumaliza kuitumia niliizima.k esho yake nilipo...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
fromGmail <verifysscs@gogleteam.com> reply-toGmail <verifyscess@gmail.com> dateSun, Aug 16, 2009 at 4:02 PM subjectYour Email Address Dear Account Owner, Dear Account User, This...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
China Unicom (NYSE: CHU; 0762.HK; 600050.SH) has announced that a malfunction in its FNAL/RNAL submarine cable has impacted communications from China to the United States and Europe. Unicom is...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo Hii nimekuwa nafikiria mambo mbali mbali yaliyotokea nchini haswa yanayohusu usalama wa mtandao , mwaka huu kumeripotiwa na magazeti kadhaa kukamatwa kwa watu waliokuwa wanaiba kwa njia ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu, I am getting this nasty issue of being kicked off my windows xp laptop whenever I login either in normal mode or safe mode and either using local admin account or domain account. I...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom