Helo wanaJF wote.
Wataalam naomba niulize. Kila nikiweka flash disk kwenye ya jamaa yangu, USB security yake inaandika hivi
1 Theat found
F:\autorun.inf
Je hii ni virus? na ina madhara gani...
PLEASE FORWARD THIS WARNING AMONG FRIENDS, FAMILY AND CONTACTS!
You should be alert during the next few days. Do not open any message with an attachment entitled 'POSTCARD FROM HALLMARK,'...
Miaka kadhaa iliyopita wengi wetu haswa vijana tulikuwa tunapenda kuwasiliana na ndugu jamaa au rafiki zetu moja kwa moja kwa njia ya chat ilikuwa ni kawaida sana kukuta watu wengi wamejikusanya...
Kama wewe ni mtembeleaji wa Tovuti kama Facebook pamoja na Hi5 utakuwa umeona baadhi ya vijimambo vinavyoendelea katika tovuti hivyo , mfano unapojiunga na tovuti hizo inakuwa na sehemu maalumu...
People now can pre-order copies of Microsofts new operating system, Windows 7 from selected retailers.
However the £50 price tag means that the software is bound to be snapped up quickly by...
Kuna wakati nawasha kompyuta halafu inawaka vizuri tu, ninapoi-connect kwenye internet baada ya sekunde chache inazimika ghafla kama umeme. Je ni kwanini au ndio virus vishaingia? Kama ndiyo hivyo...
Habari za kazi wakubwa hope wote mnaendelea vizuri na shughuli za kawaida...Kama kawaida naamini hapa hamna kinachoshindikana hata kidogo.....Sasa nimepata problem leo ambayo imejitokeza ghafla na...
ARUSHA: A HOME FOR NO BODY?
Hi Friends,
Naomba niulize Swali: Hivi Arusha kuna nini?
Huu ni mji wa ajabu sana, kwani inaelekea kila uongozi serikalini ukitaka kula basi ni Arusha. Hivyo...
Sijawahi kusikia au pengine kuona mtumiaji wa mtandao asitumie search
engine kwa ajili ya kutafuta mambo yake mbali mbali , wengi wetu huwa
tunatumia sana search engine wakati wa mwanzo...
Wana JF nina tatizo na Window Mesenger yangu kuwa inanisain automatically. Nimekwenda kwenye tools na kuopt inidai password lakini bado haijazuia kusign in auto. Tafadhal mwenye kuweza kunipa...
guys,
i was looking for anyone who has been working via TeX packages to produce high quality documents. i need to develop myself on that. alongside tht, i need to learn to produce high quality...
VIJIMAMBO KATIKA SIMU
Miezi 3 iliyopita niliamua kununua simu 2 aina ya ZTE moja nilinunua Zain na Nyingine ni sehemu moja Kariakoo , Lakini zote zilikuwa na Chapa Ya zain ila hii moja Ambayo...
Katika pita pita zangu kwenye mtandao nimekutana na hii kitu toka tigo.
nimeona sio vibaya nika share na nyie.
unaweza kujiandikisha kwenye web yao na kudownload Tigo messenger
pia unaweza...
Nimekuwa niki submit website yangu kwenye search engine mbalimbali kwa muda mrefu sasa lakini sijapata mafanikio kwani bado haifanyi vizuri kwenye search engine hasa Yahoo,Google, Bing nk
nime...
Flash Disinfector is very good free program created by sUBs for removing autorun.inf trojans and protect your Flash/Pen drives from future infection. For protect your computer, the program will...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.