Ninatumia program inaitwa Sandy na ni free service na ina-track appointments, tasks na meetings zako wakati wowote unaotaka.
Inafanya kazi kama electronic assistant * just send off an email...
Nimepata computer mpya kwa ajili ya KLHN na kama nilivyodokeza zimekuja na Vista.. lakini Vista sucks! Sasa nataka niitoe na kuweka XP... mnasemaje? kuna adjustment kubwa nahitaji kufanya au...
Miezi 2 iliyopita Microsoft ilianza kufuatilia maduka na watu wanaouza bidhaa zake ambazo hazikusajiliwa na wengine ambazo sio halali , wengi walikamatwa na maduka mengi yalilalizimika kufunga...
Wana JF naombeni msaada wenu wakiufundi,nina simu yangu aina ya blackberry Pearl 8100 , nimeinunua marekani na nimeitumia huko karibu miaka 2 nilipo kuja hapa tanzania mwaka jana mwenzi 11...
habari wanaJF? nina shida ya windows vista naomba mwenye nayo tuwasiliane tafadhali, kwa walio tanzania tu.pia mwenye windows xp prol sp2 ,isiwe fake.
tumsaml@gmail.com
Habari
Nimebadili Hard Disk katika latop yangu kisha ile niliyotoa nikaamua kuifanya External baada ya kuinunulia housing, lakini cha kushangaza imekuwa ikinizingua kwani napokopi muziki ndani...
Kuna mtu anaweza kunisaidia nifanye nini ili nitumie modem ya celtel (sharkpod) kwa line ya vodacom! Kama kuna software yeyote inayoweza kuifanya hii modem itambue line ya vodacom na kukubali...
Help Firefox set a World Record for the most software downloaded in 24 hours. With the backing of our community and your help we know we can make it!
Check out the Download Day Headquarters for...
Waungwana naomba msaada wa kiufundi. Nina external hdd ya laptop ilianguka na nilipojaribu ku-connect tena ikagoma ila nikaisikia inagonga. Nilipoifungua ndani nikakuta iko ok haina physical...
Microsoft Corp. is scheduled to stop selling its Windows XP operating system to retailers and major computer makers Monday, despite protests from a slice of PC users who don't want to be forced...
Nimejaribu sana kupiga simu leo bongo lakini kwa bahati mbaya siwapati jamaa zangu wote na cha kushangaza eti wote ni Voda sasa sijui kama ni kampuni hiyo tu au hata nyingine. Nilipata bahati ya...
Mimi ni mtumiaji mzuri wa Adobe CS3 premiere, Photoshop. illusrator, DVD encore n.k Nimekuwa nikiweka katika komputa yangu nzee na zinafanya kazi kama kawaida.
Lakini baadaye nilinunua komputa...
The worst thing that Microsoft could create in Windows was the Windows registry. Its so delicate that if you do something wrong with the registry, everything is gone.
This means that registry...
Windows Add/Remove Programs takes a lot of time to load all the installed programs on my PC as I have lots of stuff running. So I have been searching for a utility which would be similar to...
Link ya chini hizo ndio Grandawards kutoka popular science,mambo yanaenda yakiongezeka hopefully babu yangu kule kijijini internet na umeme soon vitakuwa sio luxury tena....Angalia vizuri hao...
Kuna mijamaa mingine inapenda kublock watu baada ya kuona kashapata alichokuwa anakitafuta,ili kuweza kujua aliekublock fanya hivi njia rahisi......:
Ingia kwenye MSN yako yaani sign in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.