JINSI YA KUBADILISHA LOGO YA WINDOWS 7 na KUWEKA PICHA YAKO pindi tu PALE PC YAKO INAPOANZA KUWAKA au KUZIMA.
1 - Bonyeza WINDOWS KEY + R kufungua CHECK BOX.
2 - Katika hiyo CHECK BOX andika...
Habari wanandugu ikiwa imepita takriban miezi mitatu toka kampuni ya Samsung kuzindua simu zake za S10, S10 plus na S10 5G ikiwa na vitu vipya pamoja na technologia ya hali ya juu.
Kwangu mimi ni...
Yaani nimejaribu kupekuwa simu nyingi kwa kina nakuta inaonyesha. Simu hata iwe na ram kubwa vipi. Yaani tunapewa ℅ kama 30 tu. Nyingine inatumiwa na system. Hii imekaaje yaani app zinatumia 30℅...
katika pitapita zangu nikashangaa kusikia iphone 5s inapata toleo jipya la ios 12 je kuna ukweli au uongo simu ya mwaka 2013 mpaka leo inapata updates kweli ?
iOS 12 will continue supporting...
Wakuu habari za jpli.
Naomba kujuzwa kuhusu soko la websites na linaendeshwaje.
Maana Nina mpango Wa kusoma hii short kozi pale ucc, static & dynamic website.
Karibuni.
Habari wanajamvi, nimenunua tcl smart TV na nimesikia kuna uwezekano wa kutizama channel za bure kwa kutumia antenna ya kawaida kabisa
Tafadhali mwenye uelewa juu ya hili suala anisaidie tafadhali...
Salaam wakuu! [emoji120]
Ni kweli kwamba simu za OPPO na LENOVO zinasumbua mtandao hapa Tanzania hata kama ni UNLOCKED?
Nikiwa kwenye mchakato wa kuzihama Tecno, pendeleo langu ni OPPO au LENOVO...
Habari wadau
Miaka ya hivi karibuni kumekuwepo matumizi ya bati za migongo mipana maarufu kama msouth katika kuezeka nyumba zetu. Kiukweli ni bati ambazo zinamwonekano mzuri ukilinganisha na hizi...
Habari za mda huu wakuu
Me na shida kidogo
Nimenunua parcel eBay na nataka ni ship kwa kutumia dhl
Parcel inatoka Us but sijaona address za dhl ambazo nitampa muuzaji ili mzigo upelekwe pale...
naomba msamaha kwa hili ila jamani kuna simu yangu VODAFONE 685 hina kataa ku install app ya Instagramu na tatizo sio SPACE uki download hinaingia hadi 100% tatizo ku Install
Naombeni msaada...
Habari...Kuna Ukweli Juu Ya Kuweza Kutumia Android Apps Katika Ios Yaani Iphone,Ipod,Ipad Devices??Na Kama Ni Kweli....Nani Anazijua Hizo(Tricks)[emoji2]?
wadau naomba kueleweshwa suala zima la oil....
mfano watumia gari dogo ist...unakuta unaaambiwa weka oil flan ya km 3000 mara mwingine oil hii kma 50000 mara ooo oil hii nyepesi sana si...
Yes....Kwa wale wanaotaka kupiga pesa online kupitia simu zenu,leo tumewaletea njia ya kufungua account ya paypal ukiwa Tanzania.
Kumbuka ukiwa Tanzania huwezi kufungua akaunti ya paypal na...
UKIANGALIA katika simu yako ni dhahiri Application nyingi ulizopakua ni za bure. Wote tunapenda App za bure.
Mara nyingi App za bure zina gharama ya faragha (privacy) wakati wa kuziingiza...
Wakuu wa JF, naomba msaada juu ya ubora wa hii PC, na nambiwa ni mpya tatzo ni bei iko very cheap! naomba uzoefu kama uliwahi kununua kwa hili duka BONGODUKA KARIAKOO, DAR. Lengo naitaka hii PC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.