Anae hitaji app nauza nnazo mbili moja inausu group link za whatsapp nyingine inausu mambo ya vichekesho pia anae hitaji Google play account nauza bei maelewano nicheki pm tufanye biashara
Quo
ATTACK YOUR FRIEND'S COMPUTER with SMALL VIRUSES.(prepared by Alban)
Zingatia hili kabla ya kutengeneza hao virus ni muhimu sana kufaham.
(A) Usisubutu kufungua hilo file vile ambalo...
HOW TO REMOVE WINDOWS PASSWORD by using COMMAND no SOFTWARE NEEDED.
{1} Turn on or Restart your PC.
{2} Hold F8.
{3} Select on "Enter safe mode with command prompt".
{4} In CMD write this code...
habari ndugu zangu kijana mwenzuni nipo hapa tena.
nisiwachoshe sana wakulugenzi kijana mwenzunu nimedondoka na ombeni muniinue.
nina mpango wakuanzisha offis ndogo amba nita dili na ishu za...
Wakubwa poleni na majukumu ya kutafuta riziki, naomba kujua kwa wataalamu wa mambo ya kompyuta,je? Laptop yenye spesification hizi inafaa(inaweza) kucheza magemu heavy na kufanya kazi kubwa...
jana google wametoa toleo lao la google pixel 3 likiwa limeiga kutoka apple likiwa notch je watashindana na apple ?
Google Pixel 3 - Full phone specifications
Wakuu nimekaa na kufikiria nikaona bora nikaanzisha blog ambayo itahusisha miziki pamoja na muvi hususani season. Je kwa hili wadau na weza toboa hata kwa kiasi kidogo cha fedha
Nilikuwa na simu yangu.... VIWA MAX...ilipata creack ya kioo cha nje...niliifungua nikaenda kununua kioo cha nje ila nilipata sana shida kukipata...
Kipindi naifunga hii simu bahati mbaya kioo cha...
WHATSAPP Yatoa Tamko kufungia Baadhi ya Simu janja zisitumie mtandao huo ifikapo Dec 31 mwaka huu (2017).
Simu janja hizo ni kama vile 'BLACKBERRY OS', 'BLACKBERRY 10' & WINDOW 8.0 Na simu...
#include<iostream>
using namespace std;
main() {
enum {
GREAT=1,
is=6,
Tanzania
};
cout<<"The GREAT is :"<<GREAT<< " Tanzania is:"<<Tanzania;
}
/*
Give output...
Wakuu habarini,kijana wenu hapa Nina blog yangu ambayo nataka kui monetize kupitia adnow ili iweze kutumika kwa matangazo nami nipate malipo.tatizo ni pale ninapojiunga nayo tena katika sehemu ya...
Nataka Kurecovery My Google Account Ila Nafika Mpaka Hatua Ya Mwisho Ila Sielewi Nitazipataje Verification Code Wakati Account Inataka Password... Anayejua Msaada Tafadhari
Habarin wakuu samahani kwa mtu mwenye screen ya brackbelly 9860 au fundi mwenye uwezo wa kuunganisha mkanda anisaidie maana imekatika mkanda
Natanguliza shukrani
Tutafutane in
0755161970
Hackers wanaoitwa Shadow Blockers wameachia virus wa ku hack computer zote zenye windows XP na kuiba data zako.
Hiyo yote ni kutokana na Microsoft waliacha kutoa updates za kuilinda hiyo Windows...
Habari
Hawa jamaa wamefanikiwa kuziathiri nchi zaidi ya 150 na sasa hivi nchi nyingi zipo kwenye disaster recovery mode. Je kuna fununu au taarifa rasmi kutoka Tanzania kuwa ni Taasisi au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.