Baada ya muda mrefu kesi iliyokuwa inaikumba Google kwa kuwa moja ya kampuni inayomiliki platform nyingi zinazokusanya data pamoja na umiliki wa Google search engine ambayo imekuwa ikitumika...
Wadau wa JamiiForums eti inawezekanaje mtu kutumia mtandao free bila bando...
Kuna wanaosema wanatumia free intanet kwa kufanya ujanja kwa kutumia VPN proxy me nikaona niwashirikishe waungwana...
Habari zenu wataalamu. Nimekuwa mtumiaji wa window 10 kwa muda mrefu sasa, changamoto ya kula bando sana imekuwa common. Labda wataalamu tushee mawazo kwa watumiaji wa version nyinginezo, 7, 8, 11...
siongei sana, wacha tunyoke moja kwa moja kwenye hizi points zaidi ya 20
Bei ya iphone ipo juu kwasababu haitaki ushindani
Iphone ni kama unaposafiri safari ndefu kwa basi, huwa kuna ile...
Habari wakuu,
Nimenunua Router ya airtel 5G (smart box), nimejiunga kifurushi cha unlimited cha 110,000/- kwa mwezi, nimepata changamoto ambayo hata airtel wenyewe wameshindwa kunisaidia.
Nimeona...
Unakuta simu Ina sifa nzuri ukiangalia nyuma makamera utitiri, yani kipangiliyo kamera nyingi Iko hovyo sana sababu ya kamera nyingi ni nini kama Kuna umuhimu haziwezi kukaa ndani ya camera Moja...
Kwanza tuanze kwa kujifunza kuhusu Open Source project katika ulimwengu wa Technology,
Open Source ni zile project ambazo source code zinakuwa available in public kwaajili ya modifications n.k...
Je simu yako imeingia maji? Inawezekana ukawa unatembea ghafla simu yako ikaingia maji uko mbali na fundi au vifaa viko mbali utafanyaje?
Okay unajua Teknolojia inazidi kukua kwa Kasi kila siku...
Habari wana JamiiForums,
Hivi majuzi account yangu ya Gmail ilifanya malipo kwenye airtel money kupitia google Play kwa app ambauo niliidownload playstore ambayo sikuwa awareness na kuchukua...
Habari za muda huu JF members, kwa walio wahi kupitia hii kadhia mlijinasua vipi pia naomba kujua kwa undani kwanini tunakua banned as a spam ilihali hatupo hivo sababu hasa hua ni ni asante...
Kuna app zaidi ya 50 zimefungiwa nchini Tanzania na benki kuu ya Tanzania ambazo zinatoaga huduma ya mikopo kwa Watanzania kwa mfumo wa kidigitali.
BOT imebaini kuwepo kwa app zinazojihusisha...
Hii ni kushindana vizuri zaidi na iPad za Apple ambazo inatawala soko la tablet na kuongeza ufanisi kwa kuwa na OS moja ambayo inafanya kazi kote simu, tablet, laptop, tv, magari etc.
Kazi hii...
๐๐ผ๐ฑ๐ฒ ๐๐ฎ ๐ฆ๐ถ๐ฟ๐ถ ๐บ๐๐ต๐ถ๐บ๐ ๐ธ๐๐ฒ๐ป๐๐ฒ ๐๐ถ๐บ๐ ๐๐ฎ๐ธ๐ผ
Zifahamu secret code muhimu ambazo zitakusaidia kuweza kutatua baadhi ya matatizo kwenye simu yako au ya rafiki yako ulizokuwa uzijui kabisa kama...
Kulingana na ripoti ya CDC, inaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 60 ya watu wote waliopo duniani hawapati Usingizi wa kutosha.
Kutengeneza mazoea ya kulala kwa wakati kunaweza sababisha kuboresha...
Habari wana JF,
Samahani nataka kufahamu nikilipia mtandao wa twitter x kupata bluetick napatiwa baada ya muda gani na je nikitaka ku cancel narudishiwa pesa au utaratibu unakuaje.
Ahsante