Wana Tech forum
Nijifunze skills ipi kati ya Digital marketing au Graphics design especially kwenye Motion graphics ? Kulingana na soko la Sasa kwenye nyanja hizo za technology
At our firm, we are dedicated to delivering top-tier mobile app and website design services that set you apart in the digital landscape. Our approach blends creativity with technology, ensuring...
Kutokana na Uhaba wa Vifurushi kwa sasq, vifurushi vizuri vinapatikana Tigo postpaid na Airtel Sme.
Airtel SME.
Tigo postpaid
Namna ya kupata official hivi vifurshi, tembelea wakala wa...
Inawezekana umeweka password ya ku login Kwenye window 10 alafu ukasahau password yake Je ndo hu format window nzima ??
Hapana [emoji112] Leo nakuambia nini ufanye ikitokea kompyuta uliyonayo...
Wadau kwema
Niulize chochote kuhusu programming language
1.PHp
2 javascript
3.mysqli
Additional java.
Jquery na ajax.
Karibuni.
Updated:
Programming language ni kitu haswa? Wewe unaelewa...
For any beginners who have just started to learn how to code or for anyone who would like to start it can be a little bit daunting! There are many different programming languages to choose from...
Wakuu Habari zenu? Kujifunza programming language wapi tunakwama kama taifa.
Kuna kipindi na mimi niliamua kujaribu kujifunga ili nianze kutengeneza app ya android, Rafiki yangu akaniambia...
Nahitaji kuifanya Tv yangu iwe kama youtube au Netflix lakini niweze kustream video kutoka kwenye laptop yangu bila bando. Laptop nitakuwa naiacha chumbani, niweze kuchagua video moja kwa moja...
Kuna subwoofer nyingi zime zagaa sasa nashindwa ni ipi ninunue maana sija wahi tumia sijajua ipi ni nzuri maana nisije nikanunua leo kesho imekufa
Naomba mnisaidie mnao fahamu kuhusu hivi vitu...
1. Nimepata hard disk 6 TB kwa shilingi 150,000 used (used ila disc health safi )
2. Nimenunua cpu used kwa elfu 50 ikiwa na hard disk ya GB 80 (Hp Optiplex SFF)
Kwanini ninunua cpu wakati...
๐ก Nchi ya China imegundua chanzo Cha nishati mpya isiyo na kikomo inaitwa thorium , imeripotiwa kugundua hifadhi hiyo kubwa ya Thorium katika eneo la uchimbaji wa madini LA bayan Obo huko...
JuZ kat sikuwa na habar kama hizi simu za iphone matoleo ya nyuma wanazizima zisifanye kaz tena.nikiwa sina hili wala lile ghafla simu nikaona haifanyi kaz imejizima...nikajaribu kuiwasha...
Nimekuwa nikifuatilia ubora wa TV za mkulima ila nimebaini TCL na Blackstone naona kama zipo juu, sasa hapa nimeshindwa kufanya uamzi nichukue ipi?
Naomba ushauri wenu, nichukue ipi na bei kwa...
Tulizungumzia hii soundbar kwenye mada: FLAGSHIP SOUNDBARS.
Nakamichi wanadai ni kufuatia maombi kutoka kwa watumiaji wa awali wa hii sound system ambapo 41% waliomba subwoofer ziongezeke uwezo...
Kwa aliyewahi kutumia au Mwenye Ufahamu nazo nataka kununua ya hisense btu 12000
Kwa chumba kimoja
Jf ina watu wengi wanaojua nisanueni changamoto zake na uzuri wake pia.
Utangulizi
Pi Coin ni mradi wa kifedha ambao umepata umaarufu mkubwa tangu ulipoanzishwa mwaka 2019. Wanaounda Pi Coin wanadai kuwa ni sarafu ya kidijitali inayoweza kuchimbwa (mined) kwa kutumia...
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza ni simu gani nzuri kununua kwa bei ndogo, kwa hiyo thread hii itakuonesha simu 5 za kununua kama budget yako ni chini ya laki 4 na simu 5 za kununua kama budget...