Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Anaandika bwana Kenge, Hivi karibuni kumekuwa na picha nyingi zilizotengenezwa kwa AI(Artificial Intelligence).Licha ya kwamba Technolojia hii sio ngeni sana lakini imezidi kukua kwa kasi na...
57 Reactions
306 Replies
22K Views
Wakuu naomba kujua hivo vitu am so confused
0 Reactions
59 Replies
26K Views
Wadau naomba mnisaidie title ya computer science iwe ya web based nilizofikiria zote instructor amezikataaa
2 Reactions
49 Replies
582 Views
Kumekuwa na maswali mengi sana kuhusu simu janja iphone wengi wamekuwa wakipigwa na kuuziwa simu feki, refurbished nk. Nikaona ni busara nikaandaa uzi kuhusu iphone users na ambao wanataka kuanza...
3 Reactions
70 Replies
13K Views
Naomba msaada kwanini nikisechi data kwenye Microsoft excel inakuja tofauti mfano nikisechi 2x inakuja x2
0 Reactions
0 Replies
52 Views
In-Depth Investigation of Moving Averages for Trading Systems Introduction: After two decades immersed in the ebb and flow of financial markets, I've seen countless trading strategies rise and...
0 Reactions
13 Replies
299 Views
Wakuu ninashida na App, Mtu anaejua kudevelop mobile App using Android studio naomba msaada wako.
3 Reactions
8 Replies
164 Views
Wakuu nina hii blog ambayo naimiliki lakini hamna inachoniingizia
5 Reactions
46 Replies
776 Views
Wakuu Nifanyaje kuzuia matangazo kuingia kwenye simu yangu wakati natafuta kitu kwenye web browser Nawakilisha hapa nashindwa hata kuandika
2 Reactions
24 Replies
492 Views
Habari, Namba kuuliza, nimekuwa nikifungiwa Acc yangu ya wasap kila mara napotumia mtu text. Hii imeanza kutokea baada ya kubarisha simu, nashindwa kuelewa kama shida ni simu au nini! Maana wao...
6 Reactions
70 Replies
1K Views
CHATGPT inasimama kwa "Chat Generative Pre-trained Transformer." Hii ni teknolojia ya akili bandia inayotumika kutoa majibu ya mazungumzo, kama vile tunavyozungumza sasa. Inategemea mafunzo...
11 Reactions
39 Replies
2K Views
Wadau mnatumia nn Kwa matumizi ya bando maana bando lote baada ya masaa shwaa eh 🙌🏾 adi kero
7 Reactions
114 Replies
2K Views
Karibu kwenye darasa letu la mobile app development! Hapa tutajifunza React Native kwa vitendo, tukijenga project 4 halisi kwa wiki moja moja. Jiunge na group letu la Whatsapp na upate uzoefu wa...
2 Reactions
0 Replies
71 Views
Habari za muda huu wanajamii kama kichwa cha habari kinavyoeleza ninampango wa kulipia 470,000 kwa simu aina ya Motorola G84 yenye ram12 na rom 256 6.5 inches je kwa bei hiyo ni sahihi au...
1 Reactions
6 Replies
186 Views
Samahan wadau naomba msaada jinsi ya kutatua hii changamoto kwny kisimbuz cha azam antena. Inaniandikia tu "stb verification required" sas hapo nachemka Msaada tafadhar.
0 Reactions
1 Replies
127 Views
Wataalamu wa computer nimepata wakati mgumu nilipo taka kujifunza programming language kwaajili ya kutengeneza android+iOS app, desktop app, games na website nilishauriwa nianze na C programming ...
6 Reactions
45 Replies
2K Views
Kumekuwa na ushindani mkubwa kwa miaka ya sasa hivi katika utengenezaji wa softwares ambazo hutumika katika music production. Ilikuwa kazi sana katika miaka kadhaa ya nyuma kwa mtu aliyetaka kuwa...
12 Reactions
191 Replies
43K Views
Natanguliza shukrani Kwa yeyote anaejua OTG wire cable naomba msaada wa bei na aina ipi ni nzuri kwa simu za android USB type C
1 Reactions
2 Replies
102 Views
Kampuni ya Unitree ya kuunda Roboti aina mbalimbali imeonyesha Roboti mpya aina ya G1 Humanoid yenye uwezo wa kupigana kwa kufundishwa ndani ya dakika 3 na kuweza kufanya Kila kitu kwa usahihi...
7 Reactions
17 Replies
468 Views
𝗪𝗮𝗻𝗮𝘀𝗮𝘆𝗮𝗻𝘀𝗶 𝘄𝗮𝗺𝗲𝘂𝗻𝗱𝗮 𝗥𝗼𝗯𝗼𝘁𝗶 𝘇𝗶𝗻𝗮𝘇𝗼𝘄𝗲𝘇𝗮 𝗸𝘂𝗷𝗶𝗯𝗮𝗱𝗶𝗹𝗶𝘀𝗵𝗮 𝘀𝘂𝗿𝗮 𝗸𝗮𝗺𝗮 𝗶𝗹𝗶𝘃𝘆𝗼 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗺𝗼𝘃𝗶𝗲 𝘆𝗮 𝗧𝗲𝗿𝗺𝗶𝗻𝗮𝘁𝗼𝗿 Si mnakumbuka Ile Movie ya Terminator Adui mmoja aliyekua anaitwa sky alikua na uwezo wa...
1 Reactions
7 Replies
262 Views
Back
Top Bottom