Habarini. Natumia iphone 7 plus nikifungua whatsapp,Facebook,instagram,tiktok. Mpaka niwe na Data’ wakati iphone zingine hata kama hauna data zinafungua whatsapp,facebook,IG.
Mdau umewahi kusikia kuhusu Tv guard ama Fridge Guard?
"Bidhaa za Ulinzi wa TV na Jokofu: Kuweka Vifaa Vyako Salama na Imara!
Je! Umewahi kuwaza jinsi ghafla umeme unavyozimika au kuwa na spikes...
Crazy how times have changed, Back in the day, you needed all this just to record, listen to music, and communicate. Now, it's all in your smartphone! 📱
Do you think technology has made life...
𝗢𝗻𝗲𝗣𝗹𝘂𝘀 𝟭𝟯 𝗸𝗶𝗯𝗼𝗸𝗼 𝘆𝗮 𝗶𝗽𝗵𝗼𝗻𝗲 𝗻𝗮 𝗦𝗮𝗺𝘀𝘂𝗻𝗴 😮
Linapokuja issue ya simu Bora za flagship basi wengi wetu huwa kwenye akili zetu huwa tunataja Samsung, iphone na Google vipi kuhusu Oneplus wengi...
Habari ya mchana!
Nimeshavurugwa na hii simu yangu. Jamani betri linaisha kama mwanga spidi yake! Yani nikiichaji 100%, nikianza kulitumia, pindi likifikisha 50% heeee spidi yake inaongezeka...
Naombeni ushuhuda kwa wafanyakazi wa ADSENSE waliotumia hizi platform mbili WORDPRESS & BLOGGER ipi ukitumia Ina support kupata mpunga mwingi kwenye kudisplay matangazo ya adsense tu.
Habari za...
Wakuu habari za boxing day.
Mojawapo ya mipango yangu ya 2024 ni kubadilisha na kupendezesha kisebule changu na vifaa vya kisasa vya kielektroniki.
Sasa nilikua naomba ushauri ama review ya...
Habari wanajukwaa
Nahitaji kununua laptop kwaajili ya mambo yafuatayo
Kufanya basic coding kwa kutumia HTML,PHP,Javascript,C#
Kutumia application za Adobe kama Lightroom,InDesign, na Photoshop...
Blog yangu ina miaka miwili lakini hamna lolote;
Hamna hela
Hamna viewer
Hamna comment
Hamna faida yeyote
Wakuu niliingia kwa kukurupuka kwa kuwasikiliza Motivation speaker.
Naambulia kulipia...
Blogging sio kazi yangu, naweza kusema ni kama aina ya mti nilioupanda mimi navuna tu, nina shughuli zingine
Watu wengi wanapofungua blog wazo linalowajia, ngoja nifanye kama blogger flani...
Wakuu msaada tafadhali, nimetupia kizungu kidogo hapo ila kusudi langu ni kuactivate incoming call barring kwenye simu yangu, password zake ndio zipi?
Natanguliza shukrani.
Kama Title ya thread inavyosema. Hii ni simple tutorial ya kuonesha jinsi gani utaweza kutumia modes mbali mbali katika game yako ya ETS 2.
Sometimes inafika stage kwenye hili game unakua kama...
Wakuu napataje Tshs 100k kwa mwezi. Kupitia skills hizi 2d drafting & CAD kwa kuchora michoro ya majengo, mitambo na frontend web development (html, css, JavaScript) kwa kutengeza tovuti za...
Wakuu nahitaji msaada, nina simu yangu Aina ya Sony so41b imekuwa haipandi mtandao wa intranet toka juzi,
Chanzo cha tatizo kuna dogo nilipa alikuwa nataka kufanya mawasiliano na mtu, kumbe...
Salaam Wakuu.
Katika Hii dunia kila mtu anajambo/Mambo/kazi anayofurahia kufanya.Binafdi ninamambo kadhaa ila hiki nilichokifanya nimejikuta mimi mwenyewe najipiga kifua nasema Hapa nimefanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.