Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Hatua 3 Jinsi ya kuingia Dark Web (simu na computer) Katika pitapita zangu nimekutana na maelezo kuhusu dark web internet ambayo haiwezi kufikiwa na injini za utafutaji za kawaida, watu wengi...
6 Reactions
15 Replies
427 Views
(1)UTAMBULISHO WA FRIJI 1. Compressor Compressor ya friji ni moja ya vifaa vinne vikuu vinavyofanya friji ifanye kazi. Kazi ya compressor ni kukandamiza na kudhibiti mtiririko wa...
1 Reactions
5 Replies
202 Views
TTCL Fiber mlangoni kinachoboa ni kwamba ukimuunga mtu atumie Wi-Fi yako basi yeye moja kwa moja anakua na access ya router yako anaweza unganisha mwengine kwa ku-share QR Code au ku-access...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Wakuu nawezaje ku register wechat bila ku scan code?
3 Reactions
42 Replies
2K Views
Habari wakuu nina changamoto ya kufanya malipo aliexpress leo siku ya 5 nmejaribu hata kutumia account ya jamaangu bado nimejaribu kutumia visa card ya voda wap nmejarbu kuwasiliana na benk...
2 Reactions
30 Replies
519 Views
Sasa mkombozi wetu ametufikia tena. Ni jambo la kumshukuru Mungu. Jamaa yetu Elon kakinukisha huko. Mnalionaje hili wakuu, Sasa simu zetu zimewezeshwa kushika mtandao wa Starlink. Kwa heri...
5 Reactions
14 Replies
608 Views
NAINGIAJE DEEP WEB? Kuingia deep web ni rahisi kuliko unavyofikiri. In fact, inawezekana tayari umewahi kuingia deep web ila hujui kama uliingia. Sema tu watu wengi wanashindwa kutofautisha baina...
55 Reactions
75 Replies
24K Views
Unaweza kuwaelewa watumiaji kama wanafunzi kutumia matoleo ya kuchakachua ila inakuwa too much mtu anaitumia idm miaka zaidi ya 10 na uwezo anao bado hataki kuinunua anakomaa na matoleo ya crack...
5 Reactions
16 Replies
434 Views
Bobea kwenye masomo ya PHYSICS, CHEMISTRY, na MATHEMATICS kwa A LEVEL, na PRE- FORM V. Tunafanya home Teaching pia. Tunapatikana TEGETA, Dar Es Salaam. Mawasiliano: 0782044028(Whatsapp)...
2 Reactions
7 Replies
150 Views
https://x.com/HKigwangalla/status/1893226663623762175 Wadau X Token zipo nyingi sana ila asilimia kubwa ni scam, jambo lakutambua ni kuwa Musk Hana Token yeyote inayoitwa XToken, msije...
1 Reactions
3 Replies
137 Views
Wadau mpo poa? Mwanenu hapa nahitaji msaada . Niliibiwa simu yangu , baada ya muda nilipata nyingine . Changamoto ni pale ambapo katika ku log in kwenye simu mpya ikanihitaji nifanye 2...
1 Reactions
21 Replies
260 Views
Leo tuangazie adui wa maendeleo kwa watu wa rika zote anayejulikana kama aviator na maarufu kwa jina la Kandege. Mchezo huu umegubikwa na siri nyingi sana na ambazo wenye betting sites wamekuwa...
32 Reactions
25 Replies
4K Views
Nahitaji kufunga solar system nyumbani kwangu. Nahitaji kuwasha Tv nchi 43, visimbuzi viwili, playstation 5 taa tano za watts 10. Pia kutumia rice cooker ya Watts 700 na blander ya watts 400...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Kutokana changamoto ya umeme kwa sasa, tujuzane solar bora kwa ajili ya matumizi ya nyumbani ambayo inaweza kuwasha taa, friji na TV. Kwa hali ya sasa inatisha, umeme unakatika kuanzia asbh saa...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Je una prefer operating system gani na ni kwanini?
1 Reactions
42 Replies
547 Views
Nahitaji mouse ya kuchaji. Picha na bei tafadhali
0 Reactions
1 Replies
87 Views
Habari zenu wakuu!! Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae ana tatizo na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE...
29 Reactions
2K Replies
186K Views
Home Theater, Sound Bar na HI-Fi Music kilicho Bora kwa Wapenda music Majumbani. kwa wale ambao tunapenda music..... je kati ya hivi vitu ni kipi ni bora ? tuweze saidiana kama mtu anataka kununua...
7 Reactions
96 Replies
17K Views
Habari zenu ndugu polen na majukumu mimi niliuw na penda kujua kati ya software developer na Cyber security ipi inaweza kukutengenezea utajiri mkubwa kwa Tanzania hapa
0 Reactions
11 Replies
360 Views
Wakubwa kama title inavojieleza nahitaji kujua tofauti ya vitu hivyo vitatu hapo juu, na kwa mahitaji ya muziki mzito uliotulia ni kipi cha kuzingatia hapo juu. VS
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom