Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Wadau msaada Je, kati ya IT(Information Technology) na Computer Science je ni kozi ipi Ina fursa zaidi na inaongoza kwa watu wengi waliofanikiwa?
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Wakuu Nilipokuwa nasikia kuhusu hackers na case zao za kuvuta mpunga kwenye bank mbalimbali ilinivutia Sana nikatamani kufanya hacking my career. Nikaanza kufuatilia nitaanzaje? Niliambiwa...
86 Reactions
249 Replies
17K Views
Naombeni msaada wakuu kufahamu Samsung A22 Upande wa Camera Na kukaa na chaji
1 Reactions
38 Replies
1K Views
  • Solved
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza. Karibu Nieleze kidogo kuhusu subwoofer Je, unataka kununua, basi zingatia haya. Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo...
52 Reactions
4K Replies
320K Views
Rejea kichwa cha Habari Husika. Mimi ni mdau wa muda mrefu wa Jamii Forums na pia Wa Miaka Lukuki wa MUSIC. kwa kweli nimekuwa na uzoefu wa Music miaka mingi nikiwa nimepata sikiliza music toka...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Kampuni gani itafaa zaidi kwa.matokeo bora zaidi ya mdundo. Subwoofer achana nazo. Njoo na estimated price. Radio ya Sony nimewaachia family Dar
2 Reactions
35 Replies
5K Views
wakuu habar zenu? Teknolojia ya eSim imetukomboa sisi ambao tunamiliki line zaidi ya moja za mitandao tofauti, hii teknolojia nimeipa maua yake aisee. Zaman nilikua nahangaika na kubadilisha...
10 Reactions
46 Replies
3K Views
Habari wakubwa, Naomba kwa yeyote yule anayejuwa na mwenye uwelewa namna yakuweka Quickbook kweny cloud anicheki 0752338979
0 Reactions
0 Replies
68 Views
A HARD WAY TO BE 1337 HACKER.. Leo Nitashare mawazo yangu hapa au tuseme ushauri ambao nina uhakika utakwenda kukufungua mindset yako juu ya Tasnia hii changa hapa Tanzania yaani tasnia ya Cyber...
7 Reactions
52 Replies
6K Views
Wakubwa habari zenu, naomba mtu yeyote mwenye ujuzi na quickbook accounting software anisaidie hili swali, Je inawezekana kutumia Quickbook desktop kweny cloud?
0 Reactions
2 Replies
111 Views
Kwanza kabisa tumeshuhudia Tzsh ikigain momentum over the last end of the last year, lakini maswali ya kujiuliza Je ni economic factors zilizofanya Tzsh kufika about 2300/= per 1$ au ni...
2 Reactions
7 Replies
380 Views
Huenda umeokota simu na hukunjua mwenyeww pia huenda umesahau password za simu yako na kutoweza kufanya chochote sasa ondoa BUREE pasipo kulipia gharama nyiiingi kuflash Kwa shida na teknolojia...
23 Reactions
230 Replies
47K Views
Aisee nilikuwa naingia tu mtandaoni na generate vitu bila mpangilio. Sasa nina kaproject kangu binafasi ambako hakiwezi kutumia AI generators za mtandaoni, ikabidi nirun fooocus locally. Aisee...
2 Reactions
8 Replies
262 Views
Kwakuu hii ni ban ya muda au wamefuta kabisa... Dah hapa kichwa kinawaka hela yangu imeenda hivi hvi
6 Reactions
44 Replies
1K Views
Habari wakuu, Natafuta sehemu naweza kuipata charging cable ya Swiss level. MaSurveyor naombeni msaada.
1 Reactions
14 Replies
396 Views
Nimenunua simu hivi karibuni kutoka duka moja hapo kariakoo. Sim nimeitumia tokea mwezi wa kumi na moja tarehe 15 mwaka jana (2024). Mwaka huu mwezi wa kwanza kwenye tarehe kama 20 hivi simu...
5 Reactions
68 Replies
1K Views
Wakuu zangu nliomba kujuzana juu ya chanel mbalimbali za DSTV...Ama wewe mpenzi wa DSTV unaifurahia chanel ipi katika kujifunza kwako. Nawasilisha
1 Reactions
25 Replies
1K Views
#TeamPixel Google wamezindua Pixel 8a, ambayo ni cheap version ya Google Pixel 8, ikiwa na Tensor G3 chipset. Kimuonekano inafanana na Pixel 8 na 8 Pro. Ikiwa na kioo cha OLED cha 6.1 inch FHD...
5 Reactions
2 Replies
521 Views
Habari Wakuu, Nimeshawishika sana kuichukua Google pixel 8 pro mpya kutokana na features zake, na Shughuli zangu nnazozifanya naona itanifaa sana, Nahofia kitu kimoja, mwaka jana nlinunua Google...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom