Hili ni jiko la umeme na la kisasa ,ambalo ni fanisi, linatumia umeme kidogo SANA, linapika haraka mara mbili zaidi ya gesi na ni salama kutumia, ni JIKO JANJA kwa sababu ni la kutachi kama...
SASA RASIMI PI IMEKUWA LISTED KWA THAMANI YA $0.2 ILIPANDA MPAKA 3 ILA SASA INASHUKA IPO 1.2 NA ITAZIDI KUSHUKA SABABU WATU WANAUZA SANA
CRYPTO NDIO ILIVYO PI ILISHINDWA MALENGO YAKE TOKA ZAMANI...
Habari Wakuu. Naomba msaada Nina Aquos sense 5G, inachangamoto kwenye internet, niliagiza 2nd hand from Dubai nilipoweka laini mara ya kwanza ikadai PIN nikamcheki supplier akaniomba nimtumie...
Hebu nitoe maelezo yenye undani kuhusu akili bandia (Artificial Intelligence - AI), aina zake, na jinsi inavyofanya kazi:
1. Ufafanuzi wa Akili Bandia (AI)
Akili bandia ni uwezo wa vifaa vya...
Kwa wale wapenzi wa game za mpira kwenye pc karibuni tujumuikeni hapa hasa kwa wale wa pc na hata console pia sio mbaya. Lengo ni kupeana mambo kama yafuatayo-:
Latest patch (update...
Nataka kununua router ya Airtel ila mitandaoni naona kelele ni nyingi juu ya malalamiko kuhusiana na internet kuwa slow.
Nilipo hapa natumia bando la kawaida la Airtel na liko poa. Naombeni...
Wakuu kuna mtu amehack group langu la whatsapp la muhimu sana.
Naombeni kufahamu inawezekanaje hii, mtu umemuamini na kumpa uadmin halafu unaamka unakuta "You're no longer an admin" wakati wewe...
Choosing the Right AI Model for Strategic Tasks
Businesses today face the challenge of selecting the optimal AI model for tasks ranging from simple automation to complex strategic...
Penye wengi daima pana mengi, nimekuwa mfuatiliaji wa mada zinazoendelea kwenye jukwaa hili la Teknolojia hasa ukizingatia kadri siku zinavyozidi kwenda basi na teknolojia nayo inazidi kushika...
Habari wa coding.
Kama ttitle inavyojieleza kwa utafiti niliyofanya kwenye upate wa coding, DEEPSEEK niko vizuri zaidi kwa kuandika code ambazo sija experience kwenye CHATGPT, nimekuwa mdau wa AI...
Wakuu kifupi mimi ni music enthusiast, hivyo nazingatia sana quality ya muziki maana ndo burudani yangu kuu! Sasa ni muda mrefu nimetumia Sony zile radio za kizaman zenye cd 3, nimepata quality...
Jamani poleni nakazi na mihangaiko ya hapa na pale wakuu. Kama nilivyosema mimi ni mpenzi wa games sasa kuna gaming pc nimeipata mshikaji anaiuza hana hela kaishiwa ina graphic card aina ya GTX...
Habari wana jukwaa juzi nimenunua Tv aina ya Star X inch 50 smart Tv 4k UHD. Wakati nainunua hii Tv waliniwekea baadhi ya video kutoka Youtube na zikawa zinaonesha clear sana hadi nilipenda kwa...
Nimeitumia deepseek nafikiri mimi ni mmoja wa watumiaji wa mwanzoni. Ilikuwa vizuri na ipo fasta. Lakini baada ya kuanza kelele kila muda inashindwa kufanya kazi server zao ni ndogo mchina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.