Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Soma Tangazo letu hapo tunapatikana morogoro watu wote walioko town wanaweza kuwa karibu nasi tuko mazimbu campus/sokoine university Natengeneza na kuweka software. Mbalimbali kwenye computer...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni software gani naweza ku install kwenye simu ya mtu mwingine na nikaweza kudukua/hack mawasiliani yake na watu wengine?
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Habari! Nahtaji unlock codes za hii kitu, itumie line zote. Sas ivi inatumia line ya vodaom tu.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
ndugu waungwana mimi naitaji kioo cha flat screen lcd (LG) 32 inches changu kimepasuka kwa hiyo mwenye nacho au kwa anayejua wapi nitakopokipata
0 Reactions
0 Replies
688 Views
Habari wanaJF, nipo kwenye maandalizi kama video inavyojieleza. Nia na madhumuni ni kufundisha wed development na namna ya kutengeneza wordpress blog yeneye muonekano mzuri.
0 Reactions
0 Replies
700 Views
Ni hivi, natumia simu aina ya Samsung J1 ace ambayo nilipewa na mtu tu, ila katika historia ya hii simu iliwahi kuangushwa jambo ambalo limefanya mpaka leo simu inafanya self commands, inajitouch...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba msaada wakuu kwa anyejua jins gan naweza kuconnect TV yangu ya LED ya LG jins gan naweza kuiconnect na home theater aina ya sony.. kama nikiweka flash kwenye tv bila kutumia HDMI... port...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Naomba kusaidiwa, simu yangu ina tatizo la kurun ussd code kama kutoingia kwenye menu ya mpesa ama tigo pesa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari developers am trying to connect the access database in visual studio am getting this error microsoft.ace.oledb.12.0 is not registered on the local machine any help on how to troubleshoot it...
0 Reactions
1 Replies
588 Views
Nafasi ya kazi kwa developers/ coders/ programmers E.A (Rwanda) #cheers
0 Reactions
0 Replies
558 Views
Kama maada ilivyo hapo juu nina simu yangu Huawei ascend g7, niko nayo kwa mda wa miaka mitatu ilikua ikisoma usb cable mara tu nichomekapo kwa kifaa kingine ajabu imeacha kusoma yapata mwezi sasa...
0 Reactions
3 Replies
847 Views
Wakuu habari zenu, Naomba kwa mwenye kujua application zinazoonyesha channel za Tanzania live kwenye smartphones anisaidie. Asanteni.
0 Reactions
0 Replies
903 Views
Msaada Laptop yangu inagoma kuingiza charge (Connected but not charging) ni aina ya Acer.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Salam wanabodi wa jukwaa la Teknolojia. Kuna jamaa yangu mmoja ameniambia kuwa kipindi cha nyuma alikuwa na smartphone tajwa hapo juu na ilikuwa na baadhi ya haya mambo:- 1. Mtu anapompigia...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari waungwana!!! Naomba msaada wa kujua ni software gani nzuri kwaajili ya kuchoma dvd na ibaki ktk ubora uleule? Nimetumia Ashampoo na Nero lakn bado cjaridhika na ubora wa dvd,japo video...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Clash Of Clan... Tunaocheza hii game naomba tukutane Hapa Jamani tupeane Maujanja... Maana nimekuwa nikicheza for couple Of Month lakini nakutana na changamoto kibao... Tusaidiane...
0 Reactions
2 Replies
902 Views
Ni mara ya pili sasa inanitokea ninapoomba huduma ya kopa salio naambiwa sijakidhi vigezo na sipewi mkopo, lakini cha kushangaza nikiweka vocha nakatwa fedha ambayo sikupewa, piga customer...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu habari za kushinda, naomba msaada wa maelekezo niweze kupata customized Rom kwenye simu aina ya samsung 4 na Samsung Note 3.. natanguliza shukrani zangu kwa yeyote atakayeweza kunipa msaada.
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Naomba kufahamu jinsi ya kuifanyia hard reset tecno w4
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom