Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Samahani jamani, simu yangu huawei y360 ilianguka sasa kila nikijalibu kuwasha inanicommand kureboot ila nikiiboot hairudi wala haiwaki na nikiwasha inawaka na kuzima tena inawaka na kuzima...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wapi nitapata hard drive mpya tracend 1T na ni bei gani
0 Reactions
0 Replies
546 Views
Habari!! Hapo mwanzo nilikua na app ya WhatsApp nika-unstall and then nika-dowload. Sasa niki-log in inaniambia hivi nifanyeje?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari, Naomba mnisaidie an app ambayo naweza kupunguza wimbo kwa mfano labda nataka chorus tu niifanye ringtone.
0 Reactions
18 Replies
6K Views
RE:
Jibu ni moja tu kwa maswali ya Petro. Nalo ni hili " Mhimili wangu una mizizi mirefu kuliko mihimili mingine kwa sababu mimi na mhimili wangu ndio natoa fedha na maelekezo mengine kwa mihimili...
0 Reactions
1 Replies
346 Views
Kwa wale wajanja wenzango wote leo kwenye pitapita mitandaon nmekutana na hii app ya android kiukwel ni nzur xn na very handy kwenye movie na series za kizungu nkaona sio mbaya nkishare nanyi hii...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
The U.S. Labor Department is trying to bar Google from doing business with the federal government unless the internet company turns over confidential information about thousands of its employees...
0 Reactions
0 Replies
655 Views
Kuna jamaa ananiuzia mac book, naomba msaada nini cha kuzingatia nisije nikashikishwa kitu fake. Thanks
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Poleni na majukumu wakuu. Naulizia hiyo kitu hapo juu. Kwa anayejua na bei zake tafadhali. Nipo Dar. Cc CHIEF MKWAWA. Nashukuru kwa msaada wako juu ya ile software japo haikukidhi nilichitaka
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimekaa nikajiuliza maswali kadhaa nikaona nakosa majibu nikaamua kuja kushare nanyi hapa! Hivi code za nchi fulani katika masiliano zinasaidia nini mfano Tanzania ni +255 nini faida ya kuwa na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Unajua tunapozungumzia hacking (udukuzi) ziko katika namna mbili tofaut. Aina ya kwanza ni udukuzi usio na madhara au ethical hacking hii hufanyika kwa malengo mazuri mfn kujifunza, kuboresha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Vifaa vya kurekodia mikanda ya video(VCR) vimekuwepo tangu miaka ya 1960, hata hivyo kuanzia miaka ya 1970's katikati ndipo makampuni mbalimbali ya Kijapan na Marekani yalifanya mabaresho makubwa...
0 Reactions
6 Replies
979 Views
Simu samsung j7 kioo/display umevujisha wino (nahisi niliikalia au kuilalia bila kujua) asubuhi ilikuwa inaonyeshe lakini upande wa juu kioo kilikuwa giza na kadiri muda unavyosonga ndo wino...
0 Reactions
2 Replies
572 Views
Habari wakuu?. natamani sana kujifunza computer lakini kutokana na kukosa mda naomba muongozo wa vitu vya kujifunza as a beginer. Pia naomba msaada wa anayejua website ambayo naweza nikapa best...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wanajamvi Naomba kujua watengenezaji wa id card za plastic/pvc ambao wana uwezo wa kupokea hata order ya kadi 10., pia ningependa kujua bei kwa kila kadi, Thnx in advane.
0 Reactions
2 Replies
845 Views
Nini kinasababisha connection za Internet access zinafeli na kuandika LIMITED Internet access napounganisha wireless ya simu kwenye PC. Pia naomba namna ya ku solve tatizo. Pc yangu ni HP na Simu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya mtandao (internet). mimi mtanzania na mzalendo baada ya kumaliza masomo yangu katika HTML, PHP and MYSQL ,JAVASCRIPT ,AJAX nimeamua kutumia muda wangu wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wakuu kama kilivyo kichwa hapo juu,pc yangu inagoma kabisa kuswitch on wi fi,wala kufanya connection kwa wireless msaada tatizo nin? au nifanye nin? nawasilisha.kam pich znavoonesha hapa chini
0 Reactions
7 Replies
1K Views
hi, naomba msaada wa serial key ya office 2013 wadau. thanks
0 Reactions
3 Replies
951 Views
Hi, Naomba msaada wa kuprint notes za thl application Mwenye ujuzi wa hilo tafadhali.
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Back
Top Bottom