Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu awali ya yote nawasalimu kwa jina la muumba mbingu na nchi. . Wakuu simu yangu aina ya Sony xperia ina tatizo la kukata network na kuandika hakuna sim card mara kwa mara Pia inatatizo la...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Naomba kuelekezwa namna ya setting ya cm yangu TECNO P6 ambayo huwa ina load previous sms nilizokwisha delete kwenye inbox, wakati setting yake ya ku load previous sms iko off.
0 Reactions
3 Replies
894 Views
Ndugu zangu wana JF nina TECNO H5, yani kila ninapopiga simu mwanga (brightnes) inajiweka off na ninapopigiwa yani nikipokea tu mwanga hujizima pia. Sasa inakua ngumu mno kukata simu yani mpaka...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
NI NINI GRAPHENE graphene ni material ya 2d yaliyotengenezwa kwa kutumia carbon, yana uimara mara 300 zaidi ya chuma, yanabend kama plastic ni magumu kuliko almasi na pia...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Hellow guys, Napenda kutambulisha blogspot mpya kwenu inayohusu issues mbali mbali za teknolojia duniani,itakua inakupa kila taarifa mpya kila siku kuhusu ishu mpya kuhusu mambo mapya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari , Hivi inakuaje niki bonyeza button ya kushare kwenye simu yangu inaenda moja kwa moja kutaka kutumia BLUETOOTH pekeeee? Haini options zingine kama ilivyo kuwa mwanzo. Uki...
0 Reactions
1 Replies
714 Views
Habari wadau, Naomaba kujuzwa namna ya kutoa hiyo Custom binary blocked by FRP Lock kwenye simu ya Samsung S6 edge Plus na Samsung J5. kila nikijaribu kuhard reset au kuflash simu haifunguia...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Naomba kujua free program ya kutengezea passport size picture zenye size ndogo e.g 4Kb.
0 Reactions
2 Replies
687 Views
Usi install anti-virus Usifute application ambayo huijui na hujainstall mwenyewe (umeikuta ktk simu) Hakikisha kabla ya kuitumia una update au kuweka Email na iwe valid! Usidownload application...
3 Reactions
19 Replies
8K Views
when I tap an app, it often opens the wrong one but in the same column. Is this an app problem or a technical problem? What should I do?
0 Reactions
2 Replies
692 Views
Naombeni mnisaidie
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Km screenshot zinavyoonesha Hii simu inazingua suala la camera/picha/photos kila siku INSUFFICIENT SPACE wakati kuna memory card kubwa na cha ajabu inasave kwenye simu tu yaani SD vitu haviingii...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
  • Poll Poll
I'm happy to introduce to you an online system on which you will be able to book a bus from wherever you are at any time with no hustle(at your comfort). We designed this system to simplify the...
0 Reactions
0 Replies
651 Views
Ni Samsung GT-S5303 ipo slow mpaka natamani kuitupa nn tatizo. Mf kufungua Fb. WhatsApp mpaka makata tamaa. msaada wenu plz
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Habari Anayeweza kuweka music na video kwenye blog naomba anisaidie, pamoja na na mahali pa kupata mp3_URL. Uwanja ni wenu.
0 Reactions
3 Replies
518 Views
Kwa wataalamu wa kodi naomba kuuliza kuna jamaa yangu ana hii android box ameiunganisha kwenye TV sasa niliupdate kodi ambayo IPO kwenye TV box yake ila tatizo ninapofika kwenye install from...
1 Reactions
4 Replies
962 Views
Samsung galaxy s5s,sim iko katika hali nzuri sana,ni used na haikutumika sana tangia inunuliwe Bei yake ya kuuza ni 480,000/ Kwa mawasiliano 0715591141..dsm
0 Reactions
2 Replies
614 Views
Habari za mchana wadau nilijaribu kudownload nyimbo za video kwenye simu yangu kupitia app vidmate baada ya hapo nikachomeka otg cable yangu na kuchomeka flash nikaziamishia humo baada ya hapo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kwa yeyote mwenye utaalamu huo tupeane procedures
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom