Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wadau, Haya ni moja ya makampuni ya TV ya kichina ambayo naona yanafanya vizuri sokoni kwa sasa. Nimejaribu kuzunguka kariakoo nimeona bei zake zinafanana. Hasa kwa saizi nayoitaka ya 32"...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Naomba kuelekezwa nina simu yangu samsung j7 white ila sasa nataka kubadilisha colour iwe gold Nimefikiria kubadilisha housing he itawezekana na kwa bei gani ?!
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Najaribu kudownload game ya mpira ya android FTS17 siipati kweny google play haipo nimejaribu hata apk imeshindikana hebu naomben mnipe maujanja hapa wakuu
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Tangu jana tumeunga kifurushi kwenye king'amuzi na majibu yakaja tayari ombi limeshapokelewa. sasa tumesubiri mpaka sasa masaa 24 yameshapita hatuoni chochote,, na chanel ni zilezile...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau! Nina simu ya Microsoft nataka kutoa passcode ila batani ya down haifanyi kazi,msaada kwa atakaye nisaidia kutoa hii passcode ?
0 Reactions
3 Replies
785 Views
Msaada;Nimehangaika kutafuta app ambayo inalive tv za kibongo maana nyingi nazozipata zinaonyesha channels za nje tu,ipo application niliwahi kuitumia ina Azam1, Azam2 na local channels nyingine...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Ndugu wana jf pc yangu aina ya toshiba inayotumia Windows xp imegoma kutoa volume wala haioneshi network naomba msaada jinsi ya kuweka driver na namna ya kuipata hiyo drver asanteni
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari za muda wadau? Na tatizo moja Simu yangu imegoma kuingizia chaji kwa njia ya kawaida kwa muda. Niikiweka charger kwenye soketi ya umeme haipeleki lakini nikitumia wire ya USB kuchajia...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wakuu, nahitaji kujua hivi hapa Tanzania kuna kampuni inaweza niuzia kifaa kitakacho weza nipatia Internet yangu mwenyewe mfano niko kijijini sehemu ambayo bado hakuna huduma ya Internet...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Hakuna kitu kinachokera kwenye matumizi ya computer kama kupokea ujumbe au sauti kuwa kuna file ime-corrupt kwenye computer yako. najua wengi sana hatuelewi ni njia gani ya kuweza kutafuta hyo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wadau. Ninataka kuflash cm ila sijui ni programs zipi zinatumika. Hasa Nokia na Samsung.
1 Reactions
4 Replies
13K Views
Habarini wanajamvi. Naomba kwa mwenyee anajua bundles na huduma zingine za mtandao wa TTCL afanye kushare nami/nasi please
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari wana jamvi,nina simu yangu Samsung GT-N7100 ilikuwa inapiga kazi vizuri,ila toka jana inasumbua kwenye network,ukiiwasha minara inapanda vizuri na ukiweka data on,inapga kazi kwenye...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Msaada naomben jins ya kuipata password niliosahau ktk hp laptop, na iliwekwa kwa mtindo wa bios password
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu kuna kitu huwa nakiwaza sjui nyie mnaonaje? Hiv facebook na whattsap wakilaunch project yao ile ya kutuma pesa popote duniani itakuaje? Mitandao ya simu hususan kwetu hapa watafanyaje...
2 Reactions
1 Replies
982 Views
Wadau nimevutiwa sana na app ya blog ya Udaku Specially na Bongo Swaggz. Naomba kujua software iliyotumika kuzitengeneza
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Samsung S6 edge yangu imelockiwa baada ya kufanya factory reset abnormally. Nikijarbu kulogin inasema process failed. Credencial nazoweka zipo sahii Ila inakataa kulogin. Naombeni msaada wanajamvi.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Samahani wadau wa jukwaa hili, nimenunua line ya halotel kwa ajili ya matumizi ya Internet. Tatizo, ninapowasha data, inaonekana haijaunganishwa kwenye internet kwa hiyo nashindwa kufanya nayo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
km una GTA IV na upo Dar naomba unisaidie km unahitaji malipo utalipwa
0 Reactions
2 Replies
767 Views
Msaada ndugu zangu simu yangu galaxy note 4 model Sm-N910A imekata network mtandao hausomi lakini internet naweza kutumia. Kwa awali iligoma kussuport line ya voda nikiweka inaandika phone not...
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Back
Top Bottom