Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Jamani Wadau naweza pata connection ya kuwatangazia tigo/voda/Airtel matangazo yao kwenye blog yangu kuna dau Nene
0 Reactions
4 Replies
610 Views
Habari, Kuna server yenye OS ya 2008 ambayo haipo online nataka kuiwasha na kuaccess files zake. bahati mbaya password imesahaulika. inaniambia nitumie backup tool bahati mbaya sina hiyo...
1 Reactions
1 Replies
884 Views
Salama wakuu mimi ni Fundi wa vifaa vya umeme na Umeme wenyewe niko interested zaidi na Electronics natamani kujifunza Programming language nahitaji muongozo Pakuanzia wakuu kuna watu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nahitaji simu nokia 808 au anayejua ninapoweza pata hapa dar. Naomba msaada taarifa. Natanguliza shukurani.
1 Reactions
3 Replies
699 Views
Wakuu naomba kujuzwa ni simu gani bora zaidi za android kwa kipindi cha mwaka 2015 hadi 2016 ambazo miongoni mwake nikinunua sitajutia
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Husika kichwa hapo juu nahitaji kuhost website lakin nimezunguka mitandao mingi naona wanalipia kwa mwaka lakin mm bajeti yangu haitoshi msaada kwa hilo please ni sehemu gani naweza kuhost website...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwanini floppy data cable iko twisted?
0 Reactions
1 Replies
564 Views
Rejea kichwa cha somo hapo juu, natafuta fundi wa smart TV [emoji342] ina shake na kubadilika badilika rangi. Ni pm tafadhali.. Au kama kuna ayemjua msaada kwenye tuta
0 Reactions
0 Replies
779 Views
Habari ya Jumapili wakubwa hii kitu hapa chini inawezekana kwenye simu za Tecno notification kuonyesha namba kwenye app husika
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Jaman siwez kubrows kwa kutumia Mozilla Firefox.. Nikijarb inanimbia hvyo kene picha..
0 Reactions
5 Replies
785 Views
Wadau nimerudi tena, kwanza naombeni mnivumilie, napenda sana masuala ya blog. Kwenye blog, nina page mbalimbali kama MAPENZI, MAKALA, MICHEZO NA BURUDANI n.k Swali langu ni, namna gani naweza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Simu tajwa hapo juu imevunjika kioo yeyote anayeweza kusaidia upatikanaji na fixing tuwasiliane PM
0 Reactions
5 Replies
680 Views
Habari wataalamu! Nimedownload game lakn limegoma kufunguka ila kuna ujumbe unasema ni install XINPUT1_3.dill ili iweze kufix problem,nimejaribu kiitafuta kwenye mitandao nimeipata ila ni ya...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
habari , siku za hivi karibuni,nimekutana na matangazo mengi kuhusu simu tajwa hapo juu,nimeona baadhi ya watu wakisifia kama zipo poa esp phantom 6 ambayo inaonekana kama ishaingia katika soko...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naweza kutumia application gani ili niweze kupanga picha ndogo (pasport) katika karatasi moja ya a4 zikae picha ishirini za watu tofauti zikiwana majina chini?
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Hakujawa na utafiti wa kutosha na wa muda mrefu kufanya hitimisho wazi kama mionzi kutoka simu za mkononi ni salama, lakini kulikuwa na data za kutosha kuwashawishi WHO juu ya uhusiano uwezekanao...
9 Reactions
25 Replies
26K Views
Nina note 3 N9005, haipigi simu wala SMS(NO service), lakini Inawasha data vizuri tu, 4g tena na inafungua internet, nikituma IMEI yake kwa TCRA, model ya simu inakuja n900t wanasema simu yangu...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Nakihitaji kitabu hiki kwa hali na mali
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau Salamu. Mimi nina blog, na nimeiwekea pages kama HABARI, MAKALA, SAIKOLOJIA, TIBA ASILIA n.k. Sasa kila nikijaribu kuandika na kupost kwenye hizi page, niki-publish, post haiendi kule...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Back
Top Bottom